flamini
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 598
- 796
Sema inapoelekea hata uswahilini itakuja hiyo styleNilikuwa sijui mkuu
Sema inapoelekea hata uswahilini itakuja hiyo styleNilikuwa sijui mkuu
Uchumi ungekuaje siku za usoni baada ya kua nguvu kazi ya siku usoni na viroba?Au unazungumzia uchumi wa namna na wakati gani?Tunaua uchumi wetu kwa makusudi kabisa
ubunifu huo wa 3G.Nimekuta mahari konyagi kubwa inafunguliwa wanapima kipimo kinachoendana na hera yako halafu inafungwa kusubiri mteja mwingine
Kutokana na agizo la serikali lililopiga marufuku uzwaji wa viroba hapa nchini Kiwanda cha TDL maarufu kama Kiwanda cha Konyagi kimeanza kufunga virago na kupunguza wafanyakazi, baada ya kuona wanapata hasara kubwa kwani wanazalisha lakini hawana Soko.
Wakizungumza baadhi ya viongozi wakubwa kiwanda hapo walisema kiwanda hicho kilikuwa kimesha uza mashine za kuzalisha Konyagi ya chupa na kuagiza mitambo ya kuzalisha viroba.
Jambo hilo limefanya waanze kupunguza wafanyakazi na kudai wataendelea kupunguza kwani mtambo mmoja wa kuzalishia Konyagi unaendesha na watu watatu tu kwahiyo wafanyakazi wengine wote waanze kutafuta sehemu ya kwenda.
Chips na soda pia ni hatari kwa afya.Kama huo uchumi ulikuwa unakua kwa huku kung'oa roho za vijana wetu kwa viroba, basi ufe na utokomee kabisa!
Nguvu kazi ya nini wakati hakuna ajira? Wacha waburudike walale usingizi.serikali bila pombe haiendi wewe unasema taifa la kesho wakati ajira zinaondoka hivyo serikali yenyewe haiajiri,swala wala sio vijana kuharibikiwa swala ni la mazingira ndio limepelekea kusitishwa kwa biashara hiyo,sasa unaondoa kiroba sigara utasemaje sasa..!1tuanakurupuka karibia katika kila kitu
Issue sio viroba pekeeHiyo ni kutaka kulazimisha waendelee kuuza Viroba ili vijana na taifa la kesho liangamie...haiwezekani lazima watanzania Fujifunze kutofautisha biashara na afya za vijana wetu. Kwa hili waondoke tu!
Kama huo uchumi ulikuwa unakua kwa huku kung'oa roho za vijana wetu kwa viroba, basi ufe na utokomee kabisa!
Uchumi ungekuaje siku za usoni baada ya kua nguvu kazi ya siku usoni na viroba?Au unazungumzia uchumi wa namna na wakati gani?
Serikali haina shambahahaha bado kweli halafu maisha yakitushinda tunaenda magogoni akatupe chakula kila mahali watu wanapunguzwa na serikali haiajiri ................... hili ni bomu kaka wa bashite anajiundia mwenyewe hakuna viwanda hakuna ajira hakuna pesa kuna siku tutamdai kama tunavyomdai daudi basshite vyeti nayeye aende sa ni hatari sana kampuni yetu iliyodumu tangu mwaka 56inaelekea omega na ina wafanyakazi zaidi ya 400 tz nzima hatari hatari hatari