Kuzuiwa viroba: Konyagi waanza kufunga virago?

Kuzuiwa viroba: Konyagi waanza kufunga virago?

Hawa jamaa wangepewa muda wa kutosha ili wajipange hii nchi inaonekana wafanyabiashara wa tanzania ni kama maadui zaidi ya alshabab
 
Tanzania ya viwanda uuuuuuuuu........ uchumi wa nchi unakuwa kwa kasi kubwa kuliko nchi nyingine yoyote ile Afrika! Dah! Kawadanganye akina Bashite 😱😱😱

Kutokana na agizo la serikali lililopiga marufuku uzwaji wa viroba hapa nchini Kiwanda cha TDL maarufu kama Kiwanda cha Konyagi kimeanza kufunga virago na kupunguza wafanyakazi, baada ya kuona wanapata hasara kubwa kwani wanazalisha lakini hawana Soko.

Wakizungumza baadhi ya viongozi wakubwa kiwanda hapo walisema kiwanda hicho kilikuwa kimesha uza mashine za kuzalisha Konyagi ya chupa na kuagiza mitambo ya kuzalisha viroba.

Jambo hilo limefanya waanze kupunguza wafanyakazi na kudai wataendelea kupunguza kwani mtambo mmoja wa kuzalishia Konyagi unaendesha na watu watatu tu kwahiyo wafanyakazi wengine wote waanze kutafuta sehemu ya kwenda.
 
Ndugu zangu kama tunachanganya mambo hebu naomba mniweke sawa kidogo hivi kisichotakiwa ni vifungashio au ni ile pombe yenyewe?

Maana mimi nilivyoelewa pale mwanzo kua vile vikaratasi vinachafua mazingira kwa maana hiyo ile pombe ifungwe kwenye chupa na sio kwenye zile plastic bag.
 
hahaha bado kweli halafu maisha yakitushinda tunaenda magogoni akatupe chakula kila mahali watu wanapunguzwa na serikali haiajiri ................... hili ni bomu kaka wa bashite anajiundia mwenyewe hakuna viwanda hakuna ajira hakuna pesa kuna siku tutamdai kama tunavyomdai daudi basshite vyeti nayeye aende sa ni hatari sana kampuni yetu iliyodumu tangu mwaka 56inaelekea omega na ina wafanyakazi zaidi ya 400 tz nzima hatari hatari hatari
Huna uwezo wa kutishia serikali ww kungu na nikuonye tu kwamba usijaribu kuleta uhuni mavi wako kwenye serikali hii tena usitegemee kuajiriwa,kupata fedha hovyo au chakula bila kujituma la sivyo utakuwa mke wa watu kiulaini.Eti tutadai chakula,kadai ila na ww ujue kulipa kwa masharti ya magumu.
 
Yesuu wang[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Sasa hata zle za chupa hakuna tena
(Bapa kubwa)
 
Eti ni Serikali ya viwanda au ndo imekuja kuua viwanda..Baadae utasikia tumefungua viwanda elfu 50.Afu atuvioni viwanda Hewa.viwanda Halisi vinafugwa
 
Serikali yako hiyo hiyo ilikusanya kodi ilikuwa wapi serikali ndo huwa haijielewi.....

Ngoja nilale ntaendelea kuandika kesho
 
Ccm akili zina
Viwanda 27 vya mifuko ya kijamii vinakuja ajira watu 1000000 na vingine vingi vinajengwa na kufufuliwa. Kiwanda cha konyagi kilianza na pombe za chupa baadae vikaja viroba vidogo havikupata soko wakasimamisha wakaendelea na chupa kisha wakaanzisha viroba vikubwa kidogo vikapata soko la landslide lkn za chupa ziliendelea kuzalishwa. Sasa kama hawataki kuimarisha pombe za chupa badala ya viroba waende tu. Afya na nguvu kazi ya vijana kwanza.
Tosha wenyewe before kufungua wangefikiria hilo kwanza..... Ni sawa na stand ya ubungo tu....
 
Tanzagiza alaf kesho tu utaskia vmeludshwa tena sokoni yan mambo yao wanakulupuka tu..
 
Jambo hilo limefanya waanze kupunguza wafanyakazi na kudai wataendelea kupunguza kwani mtambo mmoja wa kuzalishia Konyagi unaendesha na watu watatu tu kwahiyo wafanyakazi wengine wote waanze kutafuta sehemu ya kwenda.

Sasa hapa issue ni teknolojia au kukosa soko ndio inayopelekea kupunguza wafanyakazi? Na wafanyakazi wa vitengi vipi hasa ambao wataathirika?
 
Kutokana na agizo la serikali lililopiga marufuku uzwaji wa viroba hapa nchini Kiwanda cha TDL maarufu kama Kiwanda cha Konyagi kimeanza kufunga virago na kupunguza wafanyakazi, baada ya kuona wanapata hasara kubwa kwani wanazalisha lakini hawana Soko.

Wakizungumza baadhi ya viongozi wakubwa kiwanda hapo walisema kiwanda hicho kilikuwa kimesha uza mashine za kuzalisha Konyagi ya chupa na kuagiza mitambo ya kuzalisha viroba.

Jambo hilo limefanya waanze kupunguza wafanyakazi na kudai wataendelea kupunguza kwani mtambo mmoja wa kuzalishia Konyagi unaendesha na watu watatu tu kwahiyo wafanyakazi wengine wote waanze kutafuta sehemu ya kwenda.
hii habari ndo anapenda kusikia sizonje, nadhani atatolea tamko kufurahi na kuwapongeza konyagi kwa kumsaidia kupunguza idadi ya malaika na kuongeza idadi ya mashetani nchini😀😀😀
 
Basi kwakuwa pia chips yai imeonekana kuharibu nguvu za vijana na pia kuchafua mazingira kutokana na mifuko ile ya kubebea. Nashauri zao la viazi lipigwe ban
 
Hiyo ni kutaka kulazimisha waendelee kuuza Viroba ili vijana na taifa la kesho liangamie...haiwezekani lazima watanzania Fujifunze kutofautisha biashara na afya za vijana wetu. Kwa hili waondoke tu!
Kuondoka sawa na kodi waliyokuwa wakilipa inagawiwa kwa wananchi wote mpaka mimba zitakazozaliwa!
 
Back
Top Bottom