Wafunge tu kabala ya viloba walikuwa hawazalishiKutokana na agizo la serikali lililopiga marufuku uzwaji wa viroba hapa nchini Kiwanda cha TDL maarufu kama Kiwanda cha Konyagi kimeanza kufunga virago na kupunguza wafanyakazi, baada ya kuona wanapata hasara kubwa kwani wanazalisha lakini hawana Soko.
Wakizungumza baadhi ya viongozi wakubwa kiwanda hapo walisema kiwanda hicho kilikuwa kimesha uza mashine za kuzalisha Konyagi ya chupa na kuagiza mitambo ya kuzalisha viroba.
Jambo hilo limefanya waanze kupunguza wafanyakazi na kudai wataendelea kupunguza kwani mtambo mmoja wa kuzalishia Konyagi unaendesha na watu watatu tu kwahiyo wafanyakazi wengine wote waanze kutafuta sehemu ya kwenda.
Kwani wao ni wa kwanza kupunguzwa kazini? Viwanda vingi vilikufa kama urafiki mwatex mutex morogoro shoes kiltex n.k walienda wapi?Niliwahi kuwepo pale kwa shifti kiwanda kinakua na wafanyakazi si chini ya 250
inawezekana wakapungua hadi kufikia 50
hawa 200 wanaenda wapi?
Elimu ndo dawa ya kudumu. Isije kuwa tumewapandisha daraja kwa sasa kunywea kwenye chupa badala ya nyloni! Naunga mkono pombe kali zipigwe vita, over 30%W/V zipigwe marufuku.Viroba vilisaidia kukuza uchumi, kama tatizo ni vijana kuharibika kwanini vijana hawa wasipewe somo juu ya madhara ya pombe na kuhakikisha mnunuaji ana kitambulisho awe na umri Zaidi ya miaka 21 au zaidi?
Viroba vimezuiliwa kwa sab nyingi mojawapo ikiwa uharibifu wa mazingira. Athari ya sigara sio kubwa kama ya viroba. Kama serikali inakurupuka kuokoa vijana kiafya na madhara mengine wacha ikurupuke tu kwani kuna faida.serikali bila pombe haiendi wewe unasema taifa la kesho wakati ajira zinaondoka hivyo serikali yenyewe haiajiri,swala wala sio vijana kuharibikiwa swala ni la mazingira ndio limepelekea kusitishwa kwa biashara hiyo,sasa unaondoa kiroba sigara utasemaje sasa..!1tuanakurupuka karibia katika kila kitu
Hawanywi hadharani na kwa wingi kama virobaTz nchi isiyoamini katika elimu.
Kwani tatizo ni viroba ama watu wenyewe? Wasipopata viroba wanakunywa gongo na kuvuta gundi/petrol
Kwani imezuiliwa konyagi au kifunhashio?The Spirit of the Nation?? sasa hatutakua na spirit tena??
Kwani imezuiliwa konyagi au kifungashio?The Spirit of the Nation?? sasa hatutakua na spirit tena??
Kaisari, hao vijana ninaowazungumzia ni hawa wa umri usiozidi miaka18 ambao uwezo wao wa kujua baya na zuri ni mdogo. Umri ambao kwa msichana ukifanye naye ngono hata kama ni yeye amejipendekeza unahesabika umembaka. Kwa maana nyingine hawa vijana wadogo wananyweshwa viroba na walaku wa pesaKwani walikuwa wanalazimishwa au wananunua wenyewe ?????
Na jee kama viroba hakuna hawatanunua pombe nyingine ????
Kwani mtengenezaji and a viroba alimlenga nani kama mteja jee ni hao watoto wenu ????
Mwenye kosa ni nani ???
Muuzaji au mnunuaji au mnywaji ???????
Kwani usipokubaliana itasaidia viroba kurudi?Kasi ya ukuaji uchumi ni inatokana na increase in production, na viwanda ndo wahusika wakuu kwenye hilo.Sasa vikianza kufungwa mnategemea nini!
Halafu hii excuse ya kusema viroba ndo vinaua nguvu kazi ya taifa, siafikiani nayo kabisa.
Viroba ni pombe, kama ndo hivyo basi watunge sheria ili kunywa na kutengeneza pombe ya aina yoyote ile iwe illegal.
Kaisari, hao vijana ninaowazungumzia ni hawa wa umri usiozidi miaka18 ambao uwezo wao wa kujua baya na zuri ni mdogo. Umri ambao kwa msichana ukifanye naye ngono hata kama ni yeye amejipendekeza unahesabika umembaka. Kwa maana nyingine hawa vijana wadogo wananyweshwa viroba na walaku wa pesaKwani walikuwa wanalazimishwa au wananunua wenyewe ?????
Na jee kama viroba hakuna hawatanunua pombe nyingine ????
Kwani mtengenezaji and a viroba alimlenga nani kama mteja jee ni hao watoto wenu ????
Mwenye kosa ni nani ???
Muuzaji au mnunuaji au mnywaji ???????
Kuna tofauti yoyote kati ya viroba na konyagi, ukiacha packeging?Hiyo ni kutaka kulazimisha waendelee kuuza Viroba ili vijana na taifa la kesho liangamie...haiwezekani lazima watanzania Fujifunze kutofautisha biashara na afya za vijana wetu. Kwa hili waondoke tu!
Kwahiyo tatizo lako ni kutofungia viroba pale uliposhauri kwahiyo kufungia sasa ni kosa. Very funny.Hii ishu yote ya viroba ni muendelezo wa kutokua makini. Tatizo lilianza serikali ilipoamua kufumbia macho viroba kuuzwa kiholela.
Tulishauri sana vipigwe marufuku kungali mapema ila kwa kua labda walinufaika basi wakakaa kimya.
Sasa ni kuisoma namba kila mmoja. Atakaezidiwa atajua cha kufanya mbele ya safari. Maana hawa watu hawaeleweki.
Acha kuvuta sigaraNipelekeeni salamu sigara zimeniathiri sana nimekua teja nina uhakika mapafu yangu yameshakua na rangi ya tairi naomba muheshimiwa kama unanisikia ukataze sigara na vile viwanda vifungwe muheshimiwa siko peke yangu waathirika wa sigara tupo wengi muheshimiwa "inawezekana" tukawazidi waathirika wa viroba muheshimiwa
Haoni ni wewe pekee ndiye mwenye macho na uono wa kimungu.Ee Mungu, tulikokosea TUSAMEHE, haya mambo sio ya kukurupuka, hivi rais anaona Tanzania inakoelekea ama!!!! Amevaa miwani ya mbao?
Haoni ni wewe pekee ndiye mwenye macho na uono wa kimungu.Ee Mungu, tulikokosea TUSAMEHE, haya mambo sio ya kukurupuka, hivi rais anaona Tanzania inakoelekea ama!!!! Amevaa miwani ya mbao?
Kodi nyingine inakuja tutaireplace tu usihofu mamia ya viwanda vinajengwa nchi nzimaaisee ile habari ya mfanyaiashara aliojiua Dodoma sio poa kabisa imagine mtu anafuata taratibu zote anashehena za billion moja halafu anakuja ny'ang'anywa dah...SAD...tujiangalie aisee ...maana hizi biashara ndo zinaongeza kutoa kodi yaani
Kweli kuna mdororo wa Biashara lakini kiwanda cha Konyagi hakiwezi kufungwa miaka ya hivi karibuni.Kutokana na agizo la serikali lililopiga marufuku uzwaji wa viroba hapa nchini Kiwanda cha TDL maarufu kama Kiwanda cha Konyagi kimeanza kufunga virago na kupunguza wafanyakazi, baada ya kuona wanapata hasara kubwa kwani wanazalisha lakini hawana Soko.