Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

kama kwenda chumvini ni huku nakoelewa mimi,yaani oral sex, basi naomba nitofautiane na wenzagu hapo juu.tafiti zimeonyesha kuwa,mdomo wa binadamu ki bacteriologia(bacteriologically) ni mchafu maradufu kuliko sehemu ya uke(vagina).Ni vema tufahamu kuwa,katika hali ya afya,binadamu wote tunaishi na vimelea(microorganisms) katika sehemu nmbalimbali za miili yetu,wakiwa na lengo la kutulinda,kitaalamu wanaita normal flora hawa wanakuwa hawana madhara katika mwili.Hivyo ni kweli kuwa vagina kama ilivyo mdomo una normal flora.
sasa baadha ya vitendo huweza kuondoa normal flora na kukaribisha magonjwa,mfano kinamama kujiosha ukeni na maji ya ndimu,limao,Shabu etc huweza kuondoa Normal flora na kukaribisha magonjwa,kama ambavyo matumizi ya sabuni zenye kemikali zinavoweza kuua normal flora kwenye ngozi na kusababusha magonjwa ya ngozi.Hivyo kwa mwanamke mwenye afya,uke ni mahali salama kufanya upendalo(kama vile kwenda chumvini)
hata hivyo,nionye kuwa hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa kinywani kama vile Gonnorhea,Syphilis,candidiasis(fungus),HIV n.k ipo pale pale kama ambavyo mtu anaweza kuambukizwa kwa njia ya kawaida ya kujamiiana.
Mwisho,kama wewe ni mgonjwa wa kwenda chumvini,hakikisha unafanya mchezo huo nampenzi/mke aliyesalama
Halafu wewe uwa unaongeaga maneno ya maana.Leo mimi kama kawa.
 
Kuna wengine uingia chumvini wakiwa wamefumba macho!!!

ni mojawapo ya style, ila nasikia kuna chumvi zingine unaweza ukakutana na vijikokoto vikanasa kwenye meno. najaribu kujenga picha siku mgonjwa wa chumvini akikutana na bibie kafuga rasta huko dauni sijui atapenyaje msitu kwa ulimi?
 
Kuna wengine uingia chumvini wakiwa wamefumba macho!!!

kumbeeee!!! kunatisha kuleeee eboooo!?!?!? labda ukiwa umelewa kidooogo ndio unaweza fungua macho, kama wewe unaingiaga macho makavu kweli wewe jasiri duuu
 
wadau niliuliza swali, mpaka wa chumvini ni wapi? maana kuna ambao wananyonya hadi tigo. madhara yake ni yapi sasa
 
Though am not a medical doctor lakini kwa ufahamu wangu mdogo madhara yapo na hasa huyo demu wako kama atakuwa na michubuko mdomoni kitu ambacho ni rahisi sana kutokea na wewe pia ukawa na vimichubuko katika hiyo cone yako ambavyo yawezekana huwezi kuviona kwa macho. Kinachotokea ustadi wa kulamba cone hutofautiana sana kati ya demu na demu kuna ambao hujikuta wakati mwingine hata meno yaweza kukukwaruza kwa hiyo cone si kosa lake aidha kweli hajui how to smoothen it au kwa haraka ya kutaka kukufikisha mwisho wa safari yako. So kama unapendelea cone it's better ukaendelea tu kula sterio kwani sioni mantiki tena ya kupiga mono (kuvaa condom) sioni kama unakuwa umejilinda sana... au ndio njia ya kuchukua speed mzee. self starter zero???

ukweli ni kwamba watu wengu huwa hawachukui tahadhari katika swala zima la sex. sasa kama mtu anakula mic au anazama chumvini alafu after that anakula ishu mono inakuwa haina maana!
 
Ngoja nikupeni Kisa cha chumvini.
Nilikuwa na jamaa yangu miaka kadhaa pale chuo kikuu mlimani, wakati huo tulikuwa tunakaa hall six, kwa wale wasio pafahamu ni kule karibu na njia ya kwenda changanyikeni. Jamaa alikuwa ni mpenda chumvi damu, wenyewe tulikuwa tunamuita Mchinga Sound wana chumvi chumvi. Jamaa alikuwa hachagui wala hajiulizi mara mbili ni demu gani aende chumvini. Siku moja mida ya saa moja na nusu hivi jamaa alikamata demu flani ambaye kwa wakati huo alikuwa nia matawi pale chuo na kwa sasa ni maarufu tu hapa town akaja naye room kama kawa nikapigwa exile, wakati huo nikatoka kwenda kwenye cafeteria ya hapohapo karibu na hall six almaarufu kama Yombo. Kama dakika kumi toka nitoke chumbani ghafla umeme ukakatika, pale cafeteria kwa kuwa walikuwa wameanza kuuza chakula wakawasha taa za mafuta. Nikaendelea kuzuga pale na washikaji ili kuvuta time na kumalizia exile yangu. Kama baada ya nusu saa jamaa yangu akatoka na chupa ya soda tupu na container ya kubebea chakula alipofika tulipokuwa tumekaa nikaona kama kuna vitu vimebaki mdomoni kwake nilipomuambia akacheka kwa kuwa huwa tumezoea kumwambia atumie toothpick akitoka kufanya mambo yake hivyo hakutilia maanani maneno yangu. Nikamchukua hadi kwenye sink ya kunawia iliyopo hapo cafeteria ambayo ilikuwa na kioo pia kulikuwa na mwanga wa kutosha. Tulipofika kwenye kioo La Haula Tulichokiona ni damu zilizoganda kuzunguka mdomo wote wa jamaa na juu kwenye mustach vibonge kadhaa vyeusi. kuona hivyo jamaa alitapika hapohapo na mimi nilianguka chiki kwa kilio cha kucheka..gues what yule demu alikuwa kwenye period na jamaa alilazimisha kwenda chini ukijumlisha na giza matokeo ndio hayo..tulipo muuliza jamaa radha ilikuwa vipi alituambia ni kama maji ya bahari yaliyo changanywa majivu ya mkaa

moral of the story
Chumvini For Life - usichague vipindi, mchagua jembe si mkulima
 
Sitishiki ntaendelea kula magadi shehe mpaka mwisho wa dahari
 
kaka nimekusoma, kumbe na wewe ulikaa Hall six kama mimi!!!
 
Burn! umenikumbusha mambo ya Hall six...we acha tu! Kuna mshikaji alikuwa kazi yake ni kuhamisha kile kibox cha condoms kilikuwa kinawekwa nje kwa hall warden, jamaaa alikuwa anavikung'uta kweli vibinti pale Block D, ofcourse naye alikuwa mtaalam wa UVINZA pia! Mambo hayo!
 
Shangaziii! Chumvini ni salama ila ukizoea sana utakuwa unapenda kukaa karibu na maeneo ya choo hivyo jihadhari
 
Burn! umenikumbusha mambo ya Hall six...we acha tu! Kuna mshikaji alikuwa kazi yake ni kuhamisha kile kibox cha condoms kilikuwa kinawekwa nje kwa hall warden, jamaaa alikuwa anavikung'uta kweli vibinti pale Block D, ofcourse naye alikuwa mtaalam wa UVINZA pia! Mambo hayo!

du kumbe kule ilikuwa ni makazi ya wanamchinga sound tupu na ZeMkulima kumbe mwanachama, mimi nakumbuka tulikuwa tunawavizia ma haus geli wa changanyikeni waliokuwa wanakatiza kwenda kupeleka watoto clinic ya chuo, siku moja jamaa alikamata haus geli wa lekchara flani alikuwa anapeleka mtoto sasa wakati wanabanjuka katoto kakawa kanalia, jamaa alikanywesha pegi mbili za konyagi katoto kalilala masaa manane bila kuamaka ikabidi haus geli afichue siri jamaa aliwekwa auxiliary hadi dogo alipozinduka. Baadaye lekchara alimsamehe mshikaji
 
Jamani hako katoto mpaka huruma kisa sebene ndo kalilambishwa konyagi.

Halafu mkuu umenikumbusha mambo ya exile ila sebene na giza la kutisha siyo powa kabisa tena kama mtu mzima lazima upige vigelegele. Bora kamwanga fulani au mshumaa kwa mbali ushuhudie kwa kuona kabla ya shughuli maana watu wengine hawawezi kuacha kupiga vigelegele japo kuna athari zake sababu ya raha wanayoipata.
Unaweza kutana na pangusa ukachanganyikiwa raha ikawa karaha!
 
Hakuna madhara kunyonya tiGo provided baada ya shughuli upate a broad-spectrum anthelmintic, mathalani Albendazole....furahia maisha ya kimapenzi na tiGo!
 
Back
Top Bottom