Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

Ni kutamu hapana, ila ni frsh kumfanyia raia lengo ni kula ujiko Kua kwenye sector tuko nguli, na wengine kujivutia ujiko zaidi wananyonya hadi kwa jirani wa chumvini ila swala la utamu daaah cdhani
 
Madhara yatokanayo na kunyonya papuchi au mbususu!
1- kunasababisha kuoza kwa meno
2- kunaleta fungus ya mdomo
3- cancer ya ubongo
4- diazemas hao wadudu husababisha erectile dysfunction

Rai kwenu wadau wa kuzama chumvini acheni mara moja mtakua mmepona!
 
Mmmh mjegeje unaweza lala yooo 😎😶 Erectile dysfunction..... Nimekoma mm nimekomaa
 
Nishajaribu mara mbili hii kitu kwa wanawake wawili tofauti. Mmoja ni wife nlifanya kwa hiari yangu, mwingine mchepuko huyu aliomba mpaka akawa analilia. Sitorudia tena kwa wote nlipata madhara
 
Ndo kama hayo
FB_IMG_1662876521526.jpg
 
Hhuko unakoita Chumvini ni sehemu yenye wadudu wengi sana kuanzia fungus, Herpes, bacteria n.k hivyo iwapo una hali mbaya mdomoni unaweza kuwa umepata fungus au vimelea wengine kutoka huko na kwa njia ya fecal oral route namaanisha baada ya kuingia chumvini ukashindwa kujisafisha vizuri mikono na mwili wako unaweza kupeleka maambukizi katika kinywa,hata hivyo nahitaji maelezo zaidi kama kuna vidonda kinywani au utando wowote kwa sas unaweza kuwa unatumia Mouth wash Solution ili kuondoa haufu mbaya kama kuna utando mweupe unaweza kutumia Nystatin cream 1mls mara nne kwa siku( in case ni fungus) otherwise nipe maelezo zaidi.

Pili tatizo la kutotumia Kondomu baada ya goli la pili is more psychological than physical hivyo, Jifunze kulinganisha thamani ya maisha yako na raha ya muda mfupi unayoipata huku ukiwa na uwezekanifu wa kupata maambukizi.

Nakushauri pia uwe na mpenzi mmoja mwaminifu na mpime virusi ili hata kama usipotumia kondomu uwe salama.

Mwisho Chumvini si mahali pa salama kabisana hapakuumbwa kwa kazi hiyo.

Jitahidi kutumia viunga vya mwili kadri Mungu anavyotaka vitumie
Shukrani
Well said
 
Madhara gani ?
Kwa wife ilikuja kama kohozi likakatalia kwenye koo halimezeki halitemeki
Huyu wa pili nlijikuta tu baada ya kunogewa ila aoishaniomba mara nyingi tu nikamwambia sikuamini. Limekuja kohozi ila sio kubwa kama la maanzo but kuna hali flani ya vidonde mdomoni inakuja na ladha ya uke chumvichumvi nikawa natumia mouth wash inaondoka
 
Mmh hukupata fungus za koo kweli wewe
 
Back
Top Bottom