KUZALIWA na kuendelea KUZALIWA Upya...

KUZALIWA na kuendelea KUZALIWA Upya...

AshaDii,

Mimi ni mmoja wa wale ambao hata tarehe ya kuzaliwa kwangu inaweza kunipita bila hata kukumbuka. Mimi ni mmoja wa wale ambao nina tabia ya kusahau sana birthdays za watu, hata wale wa karibu sana.

Lakini recently I have noticed how birthdays can be important to others. I learnt to someone’s birthday recently na sasa najifunza kwako pia.

Mara nyingi tunaweza kuimba casually na bila thoughts zozote ule wimbo wa “happy birthday to you” lakini unaweza kuwa na maana kubwa sana kwa mhusika kuliko tunavyoamini.

Kwa wengine salamu ni zaidi ya casual gesture. Ni survival nyingine, maendeleo na matumaini for the future. Kuna wengine mpaka walishaambiwa kuwa mwisho wao wa kuishi ni mwaka fulani kwa hiyo kila wanapovuka mwaka ni another survival.

Thread ina symbolise what you have been through tokea ulipozaliwa. Hata hivyo, kitu ambacho kinafanya birthday yako iwe special zaidi ni kitendo cha wewe kuamua kui-share na sisi hapa JF.

To some, birthdays zinaweza kuwaongezea what is now commonly referred to as “haters” lakini sidhani kama kuna kiumbe yoyote hapa JF, including wale Mods wa kutwanga bans, anaweza hata kufikiri “Damn it! She’s still alive!”.

Happy Birthday AshaDii.
 
mimi birthday yangu ni muhimu sana sana...birthday yangu shem wako sijui alisahau sijui ni makusudi hakunipa birthday wishes yaani nikikumbuka roho inaniuma naweza kutemana nae anytime....nimeumia sana kwa kweli
AshaDii,

Mimi ni mmoja wa wale ambao hata tarehe ya kuzaliwa kwangu inaweza kunipita bila hata kukumbuka. Mimi ni mmoja wa wale ambao nina tabia ya kusahau sana birthdays za watu, hata wale wa karibu sana.

Lakini recently I have noticed how birthdays can be important to others. I learnt to someone's birthday recently na sasa najifunza kwako pia.

Mara nyingi tunaweza kuimba casually na bila thoughts zozote ule wimbo wa "happy birthday to you" lakini unaweza kuwa na maana kubwa sana kwa mhusika kuliko tunavyoamini.

Kwa wengine salamu ni zaidi ya casual gesture. Ni survival nyingine, maendeleo na matumaini for the future. Kuna wengine mpaka walishaambiwa kuwa mwisho wao wa kuishi ni mwaka fulani kwa hiyo kila wanapovuka mwaka ni another survival.

Thread ina symbolise what you have been through tokea ulipozaliwa. Hata hivyo, kitu ambacho kinafanya birthday yako iwe special zaidi ni kitendo cha wewe kuamua kui-share na sisi hapa JF.

To some, birthdays zinaweza kuwaongezea what is now commonly referred to as "haters" lakini sidhani kama kuna kiumbe yoyote hapa JF, including wale Mods wa kutwanga bans, anaweza hata kufikiri "Damn it! She's still alive!".

Happy Birthday AshaDii.
 
Smile nimefika, hebu niletee keki yangu kwanza, birthday gal yupo wapi mboni simuoni
 
Last edited by a moderator:
kusema kweli mimi sijasoma zaidi ya paragraph ya kwanza tu mana me nadhani umesahau au kwa makusudi umeamua kumuabandon baba kwenye kuzaliwa kwako ila mungu na mama tu. nadhani wewe ni YESU kama sijakosea mana yesu tu ndiyo hakuwa na baba kama hawa wa kwetu ila baba mlishi wakatoriki tunamwita hvo. je wewe ndiye masihi?
 
Happy birthday Sister AshaDii. M/MUNGU akujaalie maisha ya furaha na afya tele.
 
Last edited by a moderator:
mimi birthday yangu ni muhimu sana sana...birthday yangu shem wako sijui alisahau sijui ni makusudi hakunipa birthday wishes yaani nikikumbuka roho inaniuma naweza kutemana nae anytime....nimeumia sana kwa kweli

Pole sana aisee.

Ila uzuri ni kwamba bado unam-regard kama shem wangu. lol
 
As you grow up tomorrow make sure you have...
More dreams than memories,
More opportunities than chances,
More hard work than luck and,
More friends than acquaitances as you know in the end it's not the year in your life that count. It's the life in your years.

Happy birthday Sister AshaDii na tuombe Mwenyezi Mungu/Allah akijaze kikombe chako cha hekima, busara na uvumilivu.
 
OMG! Imekuwaje sijaiona hii? But its not too late to wish you happy birthday. Happy Birthday my beloved sister AshaDii...May you live as long as you wand and love as long as you live.

 
Last edited by a moderator:
Da Asha kabla sijaendelea kusoma, tafadhali sana badili hiyo kauli hapo nilipoweka nyekundu. Kulingana na mabandiko yako ya nyuma ninaamini wewe ni muislamu na kwa mukhtadha huo basi kwa kauli hiyo hapo chini unafanya shirki kubwa sana japokuwa huenda likawa si lengo lako. Allah(sw) huwa hasaidiani na kiumbe chochote. Badala yake unaweza kusema hivi, "Kwa rehma na baraka za Allah (sw), mama yangu mpenzi alinileta kuonja uhai na maisha".
No pun intended.
Habari wapendwa wa Jf,

Leo ni siku kubwa kwangu… Siku yangu ya kuzaliwa Kwa misingi ya siku niliyoingia hapa duniani ni tarehe kama ya leo June 23 miaka mingi iliyopita ambayo mama yangu mpendwa wakisaidiana na Mungu walinibariki kuonja uhai na Maisha.
 
Yaani wewe!
Hamna mod anaetaka watu wafe bwana dooh. Unanikumbusha stories za kuwa in a certain government hospital ati mortuary attendant huwa anapita wodini, anaulizia jamani nani mnamleta kule nimedoda.

Bila ukorofi wetu mods watakuwa hawana ajira. Lol
AshaDii,


To some, birthdays zinaweza kuwaongezea what is now commonly referred to as “haters” lakini sidhani kama kuna kiumbe yoyote hapa JF, including wale Mods wa kutwanga bans, anaweza hata kufikiri “Damn it! She’s still alive!”.
 
Hongera AshaDii kwa kuzaliwa upya!
Nakuombea Mungu mwingi wa rehema aendelee kukujalia miaka mingi zaidi ili uendelee kuzaliwa upya kwa kukupa mambo mazuri na ya baraka mara nyingi zaidi kulingana na kudra zake.
Pamoja sana.
 
What a wonderful coincidence mamito!!! ninashare nawe siku moja ya kuzaliwa!! Allah atupe umri umrefu wenye tija ya kumkumba na kutenda yaliyomema zaidi inshaallah!

Kabanga yeah.. Its a wonderful coincidence na I really hope BD yako ilikuwa na so much fun like mine. Mungu ni mkubwa katufikisha hapa, na naipokea dua yako huku nikikuombea pia kuwa sote tuweze kujaaliwa kwa hayo.

Hongera saana kwa kuongeza Mwaka, Inshallah God willing tutazidi gongana kwa miaka miiingi ijayo. Pamoja Saana.
 
Back
Top Bottom