Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
ahsante wangu... hebu twende pmhappy birthday my sweey huby wa jf
pia happy birthday dada yangu wa hiari asha....namshukuru mungu sana kwa ajili ya maisha yenu yamekuwa baraka sana kwa watu wengi mimi nikiwa mmoja wapo
love u so much
thank u on behalf babuuu...we love u toooKati ya watu ambo huwa nikiwafikiria navimba kichwa ni wewe Da Asha,.. AshaDii,
I am very proud of you and I wish many more women could take half of your courage...
Uwe na siku njema ya kukumbuka mambo mazito yaliyokutokea katika maisha yako na Mungu akujazie mibaraka zaidi...
Isha-allah, miaka yako na iwe mingi hadi upoteze meno yote na macho...!
Babu DC!!
kauzu zaidi ya dagaaaMimi huwa sisemi Happy Birthday...I dont believe in happy birthdays.
But I wish YoU A vErY hApPy AnNiVeRsArY.
karibu sana kwenye party![]()
Happy BirthDay my Sister, My Friend, and the Mentor .......D!
Unaijua kesi yako? au nikukumbushe? au unafanya makusudi?kauzu zaidi ya dagaaa
ila ni kweli birthday ilishapita na tunazaliwa once sio mwanaphisiology?
On my way nakuja, naomba kamati ya vinywaji nihusikekaribu sana kwenye party