Kuzaliwa kwa Magufuli Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana, nchi hii inastahili vilaza pekee, siyo watu wenye akili kubwa kama magu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
23,959
Reaction score
42,165
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Kitendo cha Magufuri kuzaliwa Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana

Taifa hili ni la vilaza watu wenye akili kama Magufuri hawakutakiwa kabisa

Magufuli kalikuta taifa hili miaka 60 ya uhuru halina hata ki fly over cha mchongo yeye akafanya

Magufuli amekuta taifa hili miaka zaidi ya 60 halina hata ki helicopter yeye akashusha madege makubwa
Magufuli kalikuta taifa hili miaka zaidi ya 60 halina hata ikulu wala makao makuu yeye akashusha ikulu ya mfano akajenga makao makuu ya mfano yenye mji ndani yake Magufuri city, tunavyoandika hapa wao hiyo ikulu baada ya Magufuri kufariki wameshindwa hata kupanda miti

Magufuli amekuta miaka zaid ya 60 taifa halina hata stend yeye akashusha stend kila mkoa stend zaid ya airport wao wameshindwa hata kujua wazifanyie nini

Magufuli amekuta taifa hili miaka zaidi ya 60 halina hata bwawa la umeme la maana yeye akajenga la mfano wa dunia nyingine

Magufuli amekuta taifa hili miaka zaidi ya 60 halina hata TREN ya umeme yule mzee wa watu akajenga mavyuma makubwa ya kutisha , siku moja nilifika pale steshen posta aisee nikajiasemea moyoni ndo maana wale akina kikwete walishindwa huu mradi ni mkubwa sana, kwanza tu vile vyuma vilivyoko pale vinatisha aisee, tunavyoandika hapa hawa watanzania wameiua hii TREN ya umeme

Hii nchi ina laana aisee

Magufuri tusamehe sana yaan mama Samia umeshindwa hata kusimamia mwendokas, umekabidhiwa nchi mwendokasi zilikuwa zinafika kibaha saiv hata Morocco hazifiki
TREN ya umeme nayo umeua ila hata hivyo kuua wewe ndo kazi pekee unayoiweza kuifanya kwa uhahika

SAYUNI BOY
 
Hii nchi hatuna jeshi wala usalama wa taifa tuna wahuni tu na wajinga wajinga
 
Hii nchi hatuna jeshi wala usalama wa taifa tuna wahuni tu na wajinga wajinga
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Kitendo cha Magufuri kuzaliwa Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana

Taifa hili ni la vilaza watu wenye akili kama Magufuri hawakutakiwa kabisa

Magufuri kalikuta taifa hili miaka 60 ya uhuru halina hata ki fly over cha mchongo yeye akafanya
Magufuri amekuta taifa hili miaka zaidi ya 60 halina hata ki helicopter yeye akashusha madege makubwa
Magufuri kalikuta taifa hili miaka zaidi ya 60 halina hata ikulu wala makao makuu yeye akashusha ikulu ya mfano akajenga makao makuu ya mfano yenye mji ndani yake Magufuri city, tunavyoandika hapa wao hiyo ikulu baada ya Magufuri kufariki wameshindwa hata kupanda miti
Magufuri amekuta miaka zaid ya 60 taifa halina hata stend yeye akashusha stend kila mkoa stend zaid ya airport wao wameshindwa hata kujua wazifanyie nini
Magufuri amekuta taifa hili miaka zaidi ya 60 halina hata bwawa la umeme la maana yeye akajenga la mfano wa dunia nyingine
Magufuri amekuta taifa hili miaka zaidi ya 60 halina hata TREN ya umeme yule mzee wa watu akajenga mavyuma makubwa ya kutisha , siku moja nilifika pale steshen posta aisee nikajiasemea moyoni ndo maana wale akina kikwete walishindwa huu mradi ni mkubwa sana, kwanza tu vile vyuma vilivyoko pale vinatisha aisee, tunavyoandika hapa hawa watanzania wameiua hii TREN ya umeme

Hii nchi ina laana aisee

Magufuri tusamehe sana yaan mama Samia umeshindwa hata kusimamia mwendokas, umekabidhiwa nchi mwendokasi zilikuwa zinafika kibaha saiv hata Morocco hazifiki
TREN ya umeme nayo umeua ila hata hivyo kuua wewe ndo kazi pekee unayoiweza kuifanya kwa uhahika

SAYUNI BOY
Kakojowe ukalale yaani zile roho zilizopotea ni bora flyover kuliko binadamu
 
La le li lo lu

Magufuli ✅

Magufuri❌
 
Muasisi wa utekaji

Mtoto wa singo mama asiependa kukosolewa

Singo mama leeni watoto vizur,wanapokosea muwaambie,sio toto mpaka linakuwa jitu zima unakuta halijazoea kukosolewa na kuambiwa ukwel
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Kitendo cha Magufuri kuzaliwa Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana

Taifa hili ni la vilaza watu wenye akili kama Magufuri hawakutakiwa kabisa

Magufuri kalikuta taifa hili miaka 60 ya uhuru halina hata ki fly over cha mchongo yeye akafanya
Magufuri amekuta taifa hili miaka zaidi ya 60 halina hata ki helicopter yeye akashusha madege makubwa
Magufuri kalikuta taifa hili miaka zaidi ya 60 halina hata ikulu wala makao makuu yeye akashusha ikulu ya mfano akajenga makao makuu ya mfano yenye mji ndani yake Magufuri city, tunavyoandika hapa wao hiyo ikulu baada ya Magufuri kufariki wameshindwa hata kupanda miti
Magufuri amekuta miaka zaid ya 60 taifa halina hata stend yeye akashusha stend kila mkoa stend zaid ya airport wao wameshindwa hata kujua wazifanyie nini
Magufuri amekuta taifa hili miaka zaidi ya 60 halina hata bwawa la umeme la maana yeye akajenga la mfano wa dunia nyingine
Magufuri amekuta taifa hili miaka zaidi ya 60 halina hata TREN ya umeme yule mzee wa watu akajenga mavyuma makubwa ya kutisha , siku moja nilifika pale steshen posta aisee nikajiasemea moyoni ndo maana wale akina kikwete walishindwa huu mradi ni mkubwa sana, kwanza tu vile vyuma vilivyoko pale vinatisha aisee, tunavyoandika hapa hawa watanzania wameiua hii TREN ya umeme

Hii nchi ina laana aisee

Magufuri tusamehe sana yaan mama Samia umeshindwa hata kusimamia mwendokas, umekabidhiwa nchi mwendokasi zilikuwa zinafika kibaha saiv hata Morocco hazifiki
TREN ya umeme nayo umeua ila hata hivyo kuua wewe ndo kazi pekee unayoiweza kuifanya kwa uhahika

SAYUNI BOY
"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people" - Eleanor Roosevelt
 
NOTE: Ni Magufuli na siyo Magufuri. Narudi kwenye mada: Kinachotokea sasa hivi mwasisi wake ni Magufuli. Sifa kubwa ya kiongozi na kuwa na upeo wa kuona ''kesho''. Kujenga mifumo na siyo yeye kuwa ndiyo mambo yote.
 
Back
Top Bottom