Moja ya hoja kubwa kabisa kwa sasa kwa taifa letu ni kuwa na mkuu wa nchi ambae hakubakiki kwa wananchi. Anachukiwa kila kona , watu wa lika zote wanamchukia.
Lakini huwezi kukuta Mwandishi yoyote makini akiandika kwa upana na unagaubaga juu ya hili.
Zaidi ya upuuzi na majipendenkezo. Mfano...
Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika.
Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma.
Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
Tofauti ya uzalendo wa kweli unainekana kwa viongozi wetu na Lissu?
Tofauti ya usomi na PHD fake kama za wakina Samia na Kikwete zinaonekana. Hebu fikiria kwa dakika moja Samia au Kikwete ni mashahidi uwezo wao ungekuwaje? Zaidi yako ya kujivhekesha chekesha 😳
Unakuta Kuna Jamaa CCM akiongea, anasema 'Sisi tuko kama Wachina".
Pumbafu kabisa, Hivi ukiitazama Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu yà CCM Kuna mwenye Akili pale? Mtu ambaye anaweza kuleta Maono yake na yakafanyika kweli??.
Kamati imejaa watu mbumbumbu, Et Chatanda ?? Wasira, Samia, Kawaida... ...
Kama ambavyo alikataa Mabilioni ya kuachana na Siasa.
Kama ambavyo alikataa kwenda Ulaya .
Kama ambavyo amekataa MARIDHIANO ya Kiiinga .
Ndivo ambavyo Dunia itasimama kwa ajili yake kukataa UHUNI wa Kumpora Lissu Hali yake ya Kisiasa !!.
Hili liwakae kichwani !!.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 241
Mhe. Lissu anaendelea kumdodosa Shahidi wa kificho wa Jamhuri.
Mhe Lissu: Ulisema mlikuwa na Camera ya Sony NX, Kweli si kweli ?
Shahidi wa kificho P: Kweli
Mhe Lissu: Kwenye kielelezo mlikuwa na camera tatu, sasa kuna mashahidi wamekuja hapa Mahakamani...
Katika ulimwengu wa siasa kuna watu wanaitwa wazee wa mfumo,hili ni kundi la watu linalojumuisha wafanya biashara wakubwa katika taifa ,hapa kwetu mfano mzuri ni Rostam Aziz,Mohamed Dewdji,GSM,Kiziga,na wengineo.
Sifa kuu ya hawa watu ni kuwezesha wanasiasa na chama cha siasa ili kishike dola...
Eti hiki kijumba ambacho actually is very contemporary sawa na ramani ya choo cha Shule ya Msingi Temeke Wailes ndio ushahidi wa mabilioni ya shilingi ambayo wanadai John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameyatia mfukoni mwake na kuyatumia binafsi kujengea kama...
Haya ndio madai ya chawa wa...
Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kitendo cha Magufuri kuzaliwa Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana
Taifa hili ni la vilaza watu wenye akili kama Magufuri hawakutakiwa kabisa
Magufuli kalikuta taifa hili miaka 60 ya uhuru halina hata ki fly over cha mchongo yeye...
Toeni vitisho sanaaa
Toeni matangazo
Tumieni Propagandaaa
Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa.
Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi
Kagueni vitambulisho
Tangazeni hali ya Hatari
Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini.
Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN
Wanasahau jambo lililosemwa na CNN kitaalam zaidi lilishasemwa na vyombo vinavyoaminika vya kimataifa vya habari wakiwemo...
Serikali badala ya kuwatafuta watu wenye ushawishi wa Maana ili waweze kutushawishi Sisi wenye uelewa mpana ili tukatiki oktoba wenyewe wanatuletea vichekesho kwenye jamii ya watu waliojeruhiwa imagine mtu kama Bibi wema sepetu amekazana kusema oktoba tukatiki ukimuuliza kwa sababu gani nikatiki...
Wasalaam ndugu zangu,
KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona?
Mfumo wa utoaji wa document za dharura kwa ajili kusafiri ( Emergency Travel Document) haufanyi kazi toka...
Ukisoma maandiko ya kale hata kupitia Vitabu vyetu vya kiimani ni kama utaona Dunia ya kitambo hicho ilikuwa nyuma sana ki teknolojia.Hawakuwa na mashine za kuwarahisishia kazi.
Na ukifuatilia gunduzi nyingi zilizopo leo zinaanzia hapo miaka ya 1700 hivi,na kadri tunavyoenda na ndivyo gunduzi...
Nimepata nafasi ya kutembelea halmashauri mbalimbali hapa Tanzania nilichogundua watumishi wengi ni vilaza sana kwenye utendaji.
Yaani idara zote za halmashauri unakuta watumishi hawana weledi katika kazi ufanisi ni zero kabisa.
Nafikiri ifikie pahala serikali iangalie kwa kina vigezo vya mtu...
Yaani kuna wanaJF ni vilaza Sana
Mfano huyu jamaa anajiita Pascal Mayalla , anasema kuwa watanzania tusichague wabunge vilaza Kama ilivyokuwa 2020.
Swali je mwaka 2020 sisi hao wabunge wananchi tuliwachagua au walipitishwa tu na Ccm?.
Kwa kutumia Dola.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.