Kuwekana kwenye profile picha ndo kipimo cha upendo?

Kuwekana kwenye profile picha ndo kipimo cha upendo?

Kuweka mapenzi siri ni Tatizo,ila kuwa na privacy ya mapenzi ni muhimu... Si kila kitu cha mahusiano yenu basi unaposti kwenye mitandao ya kijamii
Nilichokuwa nahoji ni kusikia mtu anasema eti ....alimweka mpenzi wake dp ili ajue yupo mwenyewe.

Mwingine eti anaogopa kisa mapenzi ya siku hizi hayadumu.
 
Kuweka profile picture ya mpenz ni kiashiri kua unampenda ila watu wanaogopa kusemwa kuachwa na michepuko
 
Kwa hiyo mapenzi tufanyeni siri kwa hofu ynavunjika mapema?

Je, ni kweli kuyaweka siri ndiyo suluhisho la kuyafanya yadumu?

Mnaishi/ mpo na watu kwenye mahusiano huku umeshikilia kitufe cha kuswitch kwa hofu muda wowote utaachwa?

Kai Kai Kai....sawa mkuu
Unajua hata mimi once niliwahi kuwa naeka mtu dp na mambo mengi lakini mahusiano yanavunjika ndipo unapobaini kuwa mahusiano ni zaidi ya kueka picha maana (i used to believe kuwa kuonyeshana kwenye social networks ndo mapenzi).
Now nimejifunza na naendesha mapenzi yangu kawaida sana bila kuonyeshana huku moyoni nikishikilia kuwa huyu nitampenda kwa moyo hata kama sitamuonyesha kwa dunia nzima.

Na kuhusu kuwa kufichana sio kwamba ni suluhisho,suluhisho ya hiyo ni kupendana kwa moyo hayo mengine ni ziada.

Mi naogopa kumuweka atanisumbua atadhani nampenda sana kwa kujilizisha kwamba yupo pekeake.
 
Unajua hata mimi once niliwahi kuwa naeka mtu dp na mambo mengi lakini mahusiano yanavunjika ndipo unapobaini kuwa mahusiano ni zaidi ya kueka picha maana (i used to believe kuwa kuonyeshana kwenye social networks ndo mapenzi).
Now nimejifunza na naendesha mapenzi yangu kawaida sana bila kuonyeshana huku moyoni nikishikilia kuwa huyu nitampenda kwa moyo hata kama sitamuonyesha kwa dunia nzima.

Na kuhusu kuwa kufichana sio kwamba ni suluhisho,suluhisho ya hiyo ni kupendana kwa moyo hayo mengine ni ziada.
Yes. Na uamini hivyo mapenzi sio kuuzana kwenye media. ila pia kutokuuzana kwenye media sio kustawi au kudumu kwa penzi.

Love never a better choice but a risk....
 
Mfano mi natoka na mke wa mtu hata akiamua kumuweka mumewe profile bado hakuna kinachoharibika
 
Yes. Na uamini hivyo mapenzi sio kuuzana kwenye media. ila pia kutokuuzana kwenye media sio kustawi au kudumu kwa penzi.

Love never a better choice but a risk....
Okey sawa mkuu.

Naheshimu maamuzi ya watu wanaowekana But for me i choose to put my love life away from social networks.
 
Okey sawa mkuu.

Naheshimu maamuzi ya watu wanaowekana But for me i choose to put my love life away from social networks.
Endelea kutuheshimu eeeh. Japo natumia whassap and JF.

Siku nikiamka na mizuka namweka. Napenda kuenjoy mapenzi kwa kuweka pembeni expectations kama akiniacha..tukiachana...watu watanionaje...background ya kuachwa

Na ukishaviweka [emoji115] ladha la penzi linashuka kwa asilimia nyingi saana.
 
MKUU [emoji38] [emoji38] [emoji38]
UMEIBA AVATAR YANGU AISEE

88163a15c0606d958b0e11fad857733d.jpg
Sijakuelewa!!!
 
Ni utapeli. Kama una akili timamu usikubali kuwekwa dp ya mtu. Utajichoresha sana. Kuna wadada 2 nimepiga sana na wameweka dp ya wanaume zao. Mwanaume kataa huu ujinga wa kuanikwa sijui facebook na social media zingine, wanaume wenzio wanakusanifu. Hata akiwa mkeo kila leo anakuanika mitandaoni "my baby blah blah blah" mkataze kwa kuwa anakutengeneza kisaikolojia. Usikubali kufanywa bwege.
we jamaa una akili sna..ni kochoreshana tu mi nmeona watu kbao wanawekwa dp na bdo wanagongewa
 
NI USHAMBA TU

Mapenzi ya kweli ni moyoni wala sio pichani

Pia watu wengine hawapendi show up

Kutomuweka gal wangu kwenye dp au fb au kokote haimaanishi simpendi

And she is very okay with that.

Ni dizain flan ushamba au Utoto hivi.

Basi sawa
 
Kuweka mapenzi siri ni Tatizo,ila kuwa na privacy ya mapenzi ni muhimu... Si kila kitu cha mahusiano yenu basi unaposti kwenye mitandao ya kijamii
Hata mantiki ya mimi kuipost sura yake kwenye profile yangu siioni sana

Mimi ilimradi nimembeba moyoni baasi hilo ndio la muhimu zaidi.
 
Back
Top Bottom