Ni utapeli. Kama una akili timamu usikubali kuwekwa dp ya mtu. Utajichoresha sana. Kuna wadada 2 nimepiga sana na wameweka dp ya wanaume zao. Mwanaume kataa huu ujinga wa kuanikwa sijui facebook na social media zingine, wanaume wenzio wanakusanifu. Hata akiwa mkeo kila leo anakuanika mitandaoni "my baby blah blah blah" mkataze kwa kuwa anakutengeneza kisaikolojia. Usikubali kufanywa bwege.