Kuwekana kwenye profile picha ndo kipimo cha upendo?

Kuwekana kwenye profile picha ndo kipimo cha upendo?

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,880
Kichwa cha habari hapo juu cha husika.

Siku hizi kumekua na mfumo wa wapenzi kuwekana kwenye profile picha kwenye hii mitandao ya kijamii kama ndo kiashiria cha upendo.

Msichana kuweka picha ya rafiki yake wa kiume na na mvulana kuweka picha ya rafiki wake wa kike kwa nia ile ile ya upendo baina yao

Je kweli kuwekana kwenye profile picha za mitandao ya kijamii ni kiashiria chaa upendo wa dhati kwa wapenzi?

Karibuni tujadili.
 
kichwa cha habari hapo juu cha husika.Siku hizi kumekua na Mfumo wa Wapenzi kuwekana kwenye profile Picha kwenye hii Mitandao Ya Kijamii Kama ndo Kiashiria Cha Upendo.

Msichana kuweka Picha ya Rafiki wake wa kiume na na Mvulana kuweka Picha ya Rafiki wake wa Kike kwa Nia ile ile ya Upendo Baina Yao

Je Kweli kuwekana kwenye Profile Picha za Mitandao Ya Kijamii Ni Kiashiria Ya Upendo wa Dhati kwa Wapenzi??

Karibuni Tujadili.

Kama hajakuweka we jua hajakupenda huyo 🙂
 
kwa kuwa unawazungumzia wasichana na wavulana inawezekana ikawa sahihi lakini kwa wanawake na wanaume inawezekana unatambulishwa.
 
kichwa cha habari hapo juu cha husika.Siku hizi kumekua na Mfumo wa Wapenzi kuwekana kwenye profile Picha kwenye hii Mitandao Ya Kijamii Kama ndo Kiashiria Cha Upendo.

Msichana kuweka Picha ya Rafiki wake wa kiume na na Mvulana kuweka Picha ya Rafiki wake wa Kike kwa Nia ile ile ya Upendo Baina Yao

Je Kweli kuwekana kwenye Profile Picha za Mitandao Ya Kijamii Ni Kiashiria Ya Upendo wa Dhati kwa Wapenzi??

Karibuni Tujadili.
Kama raha yako ya mapenzi ni kupendwa basi amini unapendwa no matter what. Ila mapenzi ni kitu moja ngumu sana hasa kwa kizazi hiki kinachowaza ujinga zaidi.

Kuna watu wana act wanapenda mpaka wanavaliana nguo na waume zao lakin bado wanagongwa vizuri tu. Mtu anadiriki kupokea simu ya mumewe huku anasex na mwanaume mwingine bila hata haya. Na anambembeleza mumewe huku anaugulia maumivu ya mashine ya mwingine live.

Leo uniambie kuna kipimo cha mapenzi, we kama unaamin mwenz anakupenda, amini kwisha habari but hakuna kipimo cha mapenzi.
 
Back
Top Bottom