Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,650
Weekwi mmbeNingekupa dada yangu Mayanka Kimboka kama ungekuwa single man
Weekwi mmbeNingekupa dada yangu Mayanka Kimboka kama ungekuwa single man
Unaweza kufichwa na uhusiano wenu ukaishia huko huko mafichoni. Unasema mapenzi ya maonesho hayadumu, ni kwa vile tu mapenzi yakibuma kule kuonyeshana kwao kunakufa. So It's easy kujua kuwa wameachana. Ila wengi mahusiano yetu sio ya kuonyeshana, na still vibuti tunakula daily. Ila pia kuna kaunafuu maana hamna maswali mengi ya "shem yuko wapi siku hizi" tehmapenzi.ya maonyesho huwa hayadumu
Kwa nini hadi asubuhi tu???[emoji17] [emoji17][emoji17]......kwa nini usimweke permanently[emoji30] [emoji30] [emoji30]Mmmh ngoja nimuweke wife hadi asbuhi nione!!
Kuda komanya ni munna mbee nakeri shashioniWeekwi mmbe
Shashioni kwi mmbeKuda komanya ni munna mbee nakeri shashioni
Hata kama tumeoana mtani, mambo ya kuwekana kwenye profile au kusifiana kwenye status yamenipitiaga kushoto sana. Labda ni pamoja na huu uzee.Kama hamjaoana, sishauri kuwekana huko kwenye profiles zenu. Nimeona watu wakipata shida sana ku move on baada ya kutumia mitandao kuweka picha za gf/bf.
Uzee upi we mtoto? Na ubichi huo mate yananimwagika hapa[emoji12]Hata kama tumeoana mtani, mambo ya kuwekana kwenye profile au kusifiana kwenye status yamenipitiaga kushoto sana. Labda ni pamoja na huu uzee.
hahahaah umeona ya kimya kimya yana faida yake pia baada ya kuachana unabaki safe both side lakini imagine kila unaedate nae unamuweka profile mpaka kuja kufikia ndoa inakuwajeUnaweza kufichwa na uhusiano wenu ukaishia huko huko mafichoni. Unasema mapenzi ya maonesho hayadumu, ni kwa vile tu mapenzi yakibuma kule kuonyeshana kwao kunakufa. So It's easy kujua kuwa wameachana. Ila wengi mahusiano yetu sio ya kuonyeshana, na still vibuti tunakula daily. Ila pia kuna kaunafuu maana hamna maswali mengi ya "shem yuko wapi siku hizi" teh
...hapo chachaWatu wanaingia na pete za ndoa lodge... itakuwa profile picture...
Ni utapeli. Kama una akili timamu usikubali kuwekwa dp ya mtu. Utajichoresha sana. Kuna wadada 2 nimepiga sana na wameweka dp ya wanaume zao. Mwanaume kataa huu ujinga wa kuanikwa sijui facebook na social media zingine, wanaume wenzio wanakusanifu. Hata akiwa mkeo kila leo anakuanika mitandaoni "my baby blah blah blah" mkataze kwa kuwa anakutengeneza kisaikolojia. Usikubali kufanywa bwege.
MKUU [emoji38] [emoji38] [emoji38]Upendo!!!! Mmmh!!!
Mie nawawekaga tu watu mbali mbali nikijisikia, ila mpenzi wangu sijawahi muweka na ninampenda.
Zamani technology ya dp haikuwepo, ingekuwepo ungewaona tu...Ivi ndoa za zamani kwanini zilidumu?walikuw wanaweka picha kwenye paji la uso[emoji3] [emoji3] [emoji3] najaribu kuwaza kwa sauti
Ogopa sana mapenzi ya siri,mwanaume anakuficha ficha ili iweje,..mpo wengi..mapenzi.ya maonyesho huwa hayadumu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] sawa mkuu imenikuta hiyoUkiona umewekwa kwenye pofile pic jiandae kwa bonge la kibomuuu.