Kuwekana kwenye profile picha ndo kipimo cha upendo?

kila mtu anamaisha yake na anachagua namna ya kuishi na mwenza wake. kuna wajinga hapa wanaponda sijui mimi sipendi kuwekwa ila akiona rafiki ake amewekwa.anaingiwa na wivu. kila mtu ananamna ya kuuonyesha upendo kwa ampendae wabongo wengi wanaishi kwa kuiga na kulinganisha.sanaa maisha na wengine na ndo maana hii nchi umaskini hauishi kwa baadhi ya jamii. unakuta jitu linamke ila kuongozana na mke wake hadharani anaona ni kama itakuwaje sijui.
tatizo ujuaji ndo umewajaa wengi,kugegedwa hovyo ni tabia na ulaku wa mtu binafsi,kuna wanawake hata umuweke dp na umuonyeshe upendo mbele ya mataifa bado atakubali kuvuliwa chupi huko na atagegedwa tuu pumbavu na hata kuna wanaume utakuta anamke mzuri tuu na mkewe katulia na anampenda but wadada wa ofcn anawakata.show tuu. Kikubwa ni kumuonyesha mwenza wako upendo kwa namna inayokupendeza ww or na yeye. bandugu acheni uoga kujiakini ni silaha toshaa
 
Kila mtu ana style yake ya maisha,maadamu havunji sheria na taratibu za nchi.
Zaidi huwezi kuwa mkalimani wa maisha
na mahusiano ya mtu.
 
NI USHAMBA TU

Mapenzi ya kweli ni moyoni wala sio pichani

Pia watu wengine hawapendi show up

Kutomuweka gal wangu kwenye dp au fb au kokote haimaanishi simpendi

And she is very okay with that.

Ni dizain flan ushamba au Utoto hivi.
 
Kama hamjaoana, sishauri kuwekana huko kwenye profiles zenu. Nimeona watu wakipata shida sana ku move on baada ya kutumia mitandao kuweka picha za gf/bf.
Umeshauri vizuri sana,maana mapenzi ya siku hizi kama Big G
 
Unaweza kufichwa na uhusiano wenu ukaishia huko huko mafichoni. Unasema mapenzi ya maonesho hayadumu, ni kwa vile tu mapenzi yakibuma kule kuonyeshana kwao kunakufa. So It's easy kujua kuwa wameachana. Ila wengi mahusiano yetu sio ya kuonyeshana, na still vibuti tunakula daily. Ila pia kuna kaunafuu maana hamna maswali mengi ya "shem yuko wapi siku hizi" teh
Umezungumza ukweli dada Heaven Sent,mimi nilikuwa na girlfriend niliempenda sana na nilikuwa namuweka sana dp whatsap kwa lengo la kumuonyesha kuwa yupo peke ake na ukweli alikuwa peke ake.Nimedumu nae miaka takribani mitano na nilikuwa namuamini kweli.Sasa mara baada ya kuvurugana(alidai tuachane) akaanza nayeye kuwa anaweka dp za wanaume mbalimbali akidai ni rafiki zake,lakini baadae tuliachana.Kaenda huko kakaa na mie nikakaa takribani miezi saba akaanza rudisha majeshi polepole.

Alikuwa haongei kuwa turudiane lakini vitendo vilionyesha hivyo.Akaanza kuja geto tena namkaza na huku kaweka dp ya mshikaji mwingine dp nikimuuliza kuhusiana na ile dp anadai ni rafiki yake tu.Sasa baadae nikaja gundua kuwa yule ni bwana wake,sikumwambia akaja geto akakaa siku mbili nikala mzigo siku anaondoka nikamwambia kila kitu kuhusiana na ile picha ya dp yake km nimtu wake na baadhi ya vitu alivyomfanyia mshikaji,akabaki mdomo wazi na nikamwambia anavyoondoka iwe mwanzo na mwisho kunitafuta by any means.
 
Ogopa sana mapenzi ya siri,mwanaume anakuficha ficha ili iweje,..mpo wengi..
Nimeshawahi kula demu huku akimuweka mshikaji dp nilivyomuuliza akadai ni mjomba wake,kwa vile sikuwa na nia nae nikatulia baadae nilivyofatilia nikajua ni mtu wake .Nikamrafuta mshikaji nikaongea nae akadai ni mtu wake,namie niliwahi wekwa dp akmwambia mshikaji wake kuwa mie ni kaka yake.Ila baadae nilivyomtafuta mshikaji nikamueleza ukweli aliumia sana lakini mwisho wasiku mie nilijiweka pembeni lakini mshikaji anaendelea na yule manzi.
 
Mhhh atakua analelewa aisee,si mnasemaga mwanaume ukisalitiwa unaacha?
 
Umezungumza ukweli dada Heaven Sent,mimi nilikuwa na girlfriend niliempenda sana na nilikuwa namuweka sana dp whatsap kwa lengo la kumuonyesha kuwa yupo peke ake na ukweli alikuwa peke ake .Nimedumu nae miaka takribani mitano na nilikuwa namuamini kweli.Sasa mara baada ya kuvurugana(alidai tuachane) akaanza nayeye kuwa anaweka dp za wanaume mbalimbali akidai ni rafiki zake,lakini baadae tuliachana.Kaenda huko kakaa na mie nikakaa takribani miezi saba akaanza rudisha majeshi polepole.

Alikuwa haongei kuwa turudiane lakini vitendo vilionyesha hivyo.Akaanza kuja geto tena namkaza na huku kaweka dp ya mshikaji mwingine dp nikimuuliza kuhusiana na ile dp anadai ni rafiki yake tu.Sasa baadae nikaja gundua kuwa yule ni bwana wake,sikumwambia akaja geto akakaa siku mbili nikala mzigo siku anaondoka nikamwambia kila kitu kuhusiana na ile picha ya dp yake km nimtu wake na baadhi ya vitu alivyomfanyia mshikaji,akabaki mdomo wazi na nikamwambia anavyoondoka iwe mwanzo na mwisho kunitafuta by any means.

Kwanini umweke mtu kwa lengo la kumwonyesha yupo mwenyewe? ????

Mweke mtu kwa upendo kutoka moyoni tu. Kwa hiyo social media nizakuonyesha wapenzi wetu kwamba tunawapenda? Mweke mtu/ mpenzi wako just for fun.

Mfano mim profile picture naweka sio kwasababu ili watu wanione no. Ikijiskia hamu ya kumweka nas..nikkmbishi common..nawaweka (napenda hiphop oldskuld)
Nikijskia kumweka mpenzi wangu..baba..kaka..wadogo zangu...washkaji nawapachika.

Nwei..duniani tunatofautiana
 
Mhhh atakua analelewa aisee,si mnasemaga mwanaume ukisalitiwa unaacha?
Yea nikweli mimi huwa nasemehe makosa yote,lakini kosa la usaliti hata ashuke malaika kuja kumuombea msamaha mwanamke alienisaliti siwezi kumsamehe,akiona nimemsamehe basi ajue namuandalia kisasi fullstop.
 
Mapenzi ya siku hizi hayadumu,unakutana na wengi sasa fikiria kama unaekuwa nae unamueka dp ndo mana mi sipendi lakini kwa ambao wanawaweka watu wao ni sawa mana kila mtu anafanya linalomfurahisha.
Kwa hiyo mapenzi tufanyeni siri kwa hofu ynavunjika mapema?

Je, ni kweli kuyaweka siri ndiyo suluhisho la kuyafanya yadumu?

Mnaishi/ mpo na watu kwenye mahusiano huku umeshikilia kitufe cha kuswitch kwa hofu muda wowote utaachwa?

Kai Kai Kai....sawa mkuu
 
Kwanini umweke mtu kwa lengo la kumwonyesha yupo mwenyewe? ????

Mweke mtu kwa upendo kutoka moyoni tu. Kwa hiyo social media nizakuonyesha wapenzi wetu kwamba tunawapenda? Mweke mtu/ mpenzi wako just for fun.

Mfano mim profile picture naweka sio kwasababu ili watu wanione no. Ikijiskia hamu ya kumweka nas..nikkmbishi common..nawaweka (napenda hiphop oldskuld)
Nikijskia kumweka mpenzi wangu..baba..kaka..wadogo zangu...washkaji nawapachika.

Nwei..duniani tunatofautiana
Unachosema nikweli lakini baadhi ya wanawake hulazimishwa mpaka kuwekwa kwenye dp,unaamua kuweka kulingana na lengo ulilonalo moyoni.

Wengine huweka ili kukujengea kuwa upo peke yako haliyakuwa anajiandaa kukusaliti.

Wengine huwekwa kwa maandalizi yakupigwa mzinga.

Kila kitu huwa kinatokea kulingana na kusudio la muhusika,na siku zote makusudio hayawez kufanana.
 
Na ukiona mtu yuko busy ku assess mapenzi ya watu jua huyo yake yamemshinda...otherwise muda huo na hayo mawazo unatoa wapi?!

kila mtu anamaisha yake na anachagua namna ya kuishi na mwenza wake. kuna wajinga hapa wanaponda sijui mimi sipendi kuwekwa ila akiona rafiki ake amewekwa.anaingiwa na wivu. kila mtu ananamna ya kuuonyesha upendo kwa ampendae wabongo wengi wanaishi kwa kuiga na kulinganisha.sanaa maisha na wengine na ndo maana hii nchi umaskini hauishi kwa baadhi ya jamii. unakuta jitu linamke ila kuongozana na mke wake hadharani anaona ni kama itakuwaje sijui.
tatizo ujuaji ndo umewajaa wengi,kugegedwa hovyo ni tabia na ulaku wa mtu binafsi,kuna wanawake hata umuweke dp na umuonyeshe upendo mbele ya mataifa bado atakubali kuvuliwa chupi huko na atagegedwa tuu pumbavu na hata kuna wanaume utakuta anamke mzuri tuu na mkewe katulia na anampenda but wadada wa ofcn anawakata.show tuu. Kikubwa ni kumuonyesha mwenza wako upendo kwa namna inayokupendeza ww or na yeye. bandugu acheni uoga kujiakini ni silaha toshaa
 
Kwa hiyo mapenzi tufanyeni siri kwa hofu ynavunjika mapema?

Je, ni kweli kuyaweka siri ndiyo suluhisho la kuyafanya yadumu?

Mnaishi/ mpo na watu kwenye mahusiano huku umeshikilia kitufe cha kuswitch kwa hofu muda wowote utaachwa?

Kai Kai Kai....sawa mkuu
Kuweka mapenzi siri ni Tatizo,ila kuwa na privacy ya mapenzi ni muhimu... Si kila kitu cha mahusiano yenu basi unaposti kwenye mitandao ya kijamii
 
Back
Top Bottom