Kuwa makini na hizo kampani zako huko mtaani!

Kuwa makini na hizo kampani zako huko mtaani!

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
3,357
Reaction score
10,378
Tazama picha za Jose wa Kitaa na Jose huyo huyo ndani ya vizimba vya mahakama Iringa .

Ndoto za kusaka utajiri zitaishia jela kwa kijana Joseph aliyemkatakata mtoto wake na kusagasaga mifupa yake na kuiweka kwenye tenki la maji machafu.

Picha za Jose hazina hatia kabisa, anaonekana alikuwa mpambanaji na bodaboda yake.

Lakini alikua anakaa na nani kwenye makundi? Nani alikua anamshauri? Ni dhahiri alikaa na mtu mwenye mafanikio akamwambia alimtoa kafara mwanae.

Kuna msemo unasema 'nionyeshe rafiki yako nikwambie wewe ni nani".

Proverbs 13:20
[20]He that walketh with wise men shall be wise: but a companion of fools shall be destroyed.
Enenda pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima; Bali rafiki wa wapumbavu ataumia.
 
Attachments

  • 1774068566474.jpg
    1774068566474.jpg
    61.5 KB · Views: 3
  • 1774068555538.jpg
    1774068555538.jpg
    67 KB · Views: 1
  • 1774068573024.jpg
    1774068573024.jpg
    79.8 KB · Views: 2
  • 1774068577125.jpg
    1774068577125.jpg
    105.7 KB · Views: 1
Lakini alikua anakaa na nani kwenye makundi? Nani alikua anamshauri? Ni dhahiri alikaa na mtu mwenye mafanikio akamwambia alimtoa kafara mwanae.
Peer pressure lakini huyu anaonekana alishabalehe huyo mtoto aliambiwa sio wa kwake? Maana wanawake hawaishiwi kuropoka ovyo mara mtoto huyu kwanza wewe sio baba yake, eeh yamekua hayo?
 
Huyo Dogo umemuona mkuu ni chapa yake kabisa

Halafu si wanasema kafara inabidi Utoe damu yako kabisa ?
Ndio maana nikarudisha mpira kwa kipa, labda mwanamke aliropoka maneno fulani yale ya kwanza huyu mtoto ana baba yake wewe sio baba yake usinibabaishe na chochote, mwamba akaona isiwe tabu akafungua bucha
 
Peer pressure lakini huyu anaonekana alishabalehe huyo mtoto aliambiwa sio wa kwake? Maana wanawake hawaishiwi kuropoka ovyo mara mtoto huyu kwanza wewe sio baba yake, eeh yamekua hayo?
Mahakama iliamuru apimwe vinasaba na mabaki yaliyopatikana DNA result ikaonyesha ni wake 99%

Sa mpaka anamtoa kafaaa Anajua ni damu yake kabisa

Hivi tulipofika watu tunathamini pesa kuliko utu namna hii?
Mwanao kipenzi?
Mbona kuua imekuwa jambo rahisi sana tuendako?
 
Mahakama iliamuru apimwe vinasaba na mabaki yaliyopatikana DNA result ikaonyesha ni wake 99%

Sa mpaka anamtoa kafaaa Anajua ni damu yake kabisa

Hivi tulipofika watu tunathamini pesa kuliko utu namna hii?
Mwanao kipenzi?
Mbona kuuza imekuwa jambo rahisi sana tuendako?
Ila huyu jamaa kuna vitu inaonekana amepitia tokea utotoni vimemuharibu kisaikolojia

Unajua kukibonda bonda kichwa cha mwanae mpaka kikasagika ni uthubutu mkubwa sana ambao mtu muoga mwenye akili timamu inaweza kukuwia ugumu
 
Back
Top Bottom