Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,301
- 37,040
Miss you ephen mpaka nilianzisha campaign ya bring back ephen. 😊🙂😊Bila shaka wewe ni andunje.
Miss you ephen mpaka nilianzisha campaign ya bring back ephen. 😊🙂😊Bila shaka wewe ni andunje.
Of course mara nyingi hua vilaza!Pia faida ya kuwa introvert ni kuwa watu wanakuchukulia wewe ni smart Sana hata ukiwa kilaza .
Khaa! Mimi nipo ila siandiki sana vidole vinaumaMiss you ephen mpaka nilianzisha campaign ya bring back ephen. 😊🙂😊
Mimi nilikua sijulikani mtaani kama ni mtoto wa Ile nyumba...Ila dogo nae fatana nae anajulikana balaa enzi izoo..Kuna Mwanangu yuko form 2 ana tabia hizo,akirudi shule ni ndani,kuna baadhi ya majirani uwa wanamuona mtaani akiwa anaenda au kurudi shule lakini hawajui kama ni Mwanangu coz dogo hajulikani anakaa wapi,pale home ni ndani tu,kuna kipindi alidai anataka kunifundisha forex maana nilimpa kipc changu kibovu kibovu na home kuna wifi ya voda ya mchongo,ila sasa upande wa shuleni si mzuri sana,mtaani hana rafiki coz sijawahi kumuona kucheza na wenzake,kuna kipindi nilimfuatilia shuleni kwao nikagundua kule pia hana marafiki,wakati wa kutoka kuelekea stendi uwa namuona yuko peke yake,ajichanganyi na wenzie
😁😁😁Sio kweli mkuuOf course mara nyingi hua vilaza!
Mimi nilikuwa nikitoka home naulizwa na watu umerudi liniMimi nilikua sijulikani mtaani kama ni mtoto wa Ile nyumba...Ila dogo nae fatana nae anajulikana balaa enzi izoo..
Mimi huwa na marafiki Tena wachache Sana..nilikua sinaga ukaribu na wanawake zaidi ya ndugu na mama.
Mimi Mbona sio kilaza Ila Mimi ni mwoga Sana zamani so huwa nachunga njia zangu .Of course mara nyingi hua vilaza!
Kijana wangu ni introvert, nilipata kazi sana kumuelewa huko nyuma, nimekuja kuelewa kua ni intovert akiwa secondary school, yani ulivuoongea vyote kuhusu intovert ni kama unamjua mwanangu, yani umemsema yeye kila kitu, hadi nikahisi au ana tatizo anaficha. Now hua namuacha tu na mambo yake japo sometimes anakera sana, mtoto gani anapenda kua peke ake mala nyingi, busy na cm au computer au chumbani kwake anaangalia tv, but is not good kiukweli, hata akiwa na tatizo huezi juaUnaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu.
Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa sehemu nayotaka kupita naweza nikasubiri mpaka utoke ndo namimi nipite!, mitabia myengine sijui ya wapi tu!..
Huku mitandaoni tumejazana maana ndo sehemu tunaweza hata kumtishia mtu kumdunda!, ila huku ana kwa ana hata kutukana tu ni kasheshe!.
Ndo viumbe pekee vinakaa mji fulani ila vinajua mitaa michache sana maana kutembeatembea sio pendeleo sana kwao!.
Mzazi mwenye mtoto wa aina hii usimsokote sana mwanao kumlazimisha achanganyikane na watu!, wakati wake ukifika atachanganyika na atachagua wakuchanganyika nao!.
pili mfatilie ila usimfatilie sana mpaka ukaziba uhuru wake ambao ni amani yake!, utamkosesha kujiamini hata akiwa peke yako atakuwa anaona kama unamuangalia 24/7.
Usiruhusu mtu mwengine ambae hazijui hulka za mwanao amsumbue hovyohovyo bila sababu za msingi.
Jua vitu anavyovipenda ukiweza mpatie kadri uwezavyo kwa vipimo vya wastani, usimzidishie.
Introvert wengi wana hulka ya uoga na akikuwa hiyo hulka ikakomaa ndo inamvaa na kumsababishia "anxiety".
Hivyo hakikisha akiwa bado mdogo mpe kazi ambazo zitaongeza ujasiri wake, sanasana hakikisha anakuwa anafanya zile kazi ngumu kiasi na pia uwe unampa maneno ya kumtia moyo ya kwamba anaweza!. jitahidi kumsoma hali zake maana ni mabingwa wa kuficha!, hivi ndo viumbe vinaweza kutunza siri mpaka kufa!.
Mwisho kuwa makini na namna unavyoenenda nae maana anaweza akawa anakushinda hata utafakari!, usimtake ajielezee sana bali kama ni kitu cha kufanya muache afanye!, maana huwa si wazuri sana kwenye kujieleza ila kutenda wapo smart sana!.
traumas kama zipi mkuu? just examplesKuna muda unaweza sema mtu ni introvert ila ukijaribu ku dig deeper unakuta chanzo cha kutochanganyikana na watu ni childhood traumas alizopitia ..sasa zinakuja kumu affect kwenye utu uzima
Hizo ni tabia zetu ndio maana nazijua!, utakereka sana tu ila yeye kwa raha zake...🤣Kijana wangu ni introvert, nilipata kazi sana kumuelewa huko nyuma, nimekuja kuelewa kua ni intovert akiwa secondary school, yani ulivuoongea vyote kuhusu intovert ni kama unamjua mwanangu, yani umemsema yeye kila kitu, hadi nikahisi au ana tatizo anaficha. Now hua namuacha tu na mambo yake japo sometimes anakera sana, mtoto gani anapenda kua peke ake mala nyingi, busy na cm au computer au chumbani kwake anaangalia tv, but is not good kiukweli, hata akiwa na tatizo huezi jua
Ni hivyo yan,mara nyingi nikiongozana na dogo baadhi ya watu uwa wananiuliza kumbe huyu ni mwanao,mdogo wake ndio anajulikana mtaani,siku za karibuni ameanza tabia mpya hadi msosi anaenda kulia chumbani kwake,darasani si mzuri sana ila upande computer na simu yuko vizuri mno,anapiga hadi excel,nikimuuliza umejifunzia wapi anadai youtubeMimi nilikua sijulikani mtaani kama ni mtoto wa Ile nyumba...Ila dogo nae fatana nae anajulikana balaa enzi izoo..
Mimi huwa na marafiki Tena wachache Sana..nilikua sinaga ukaribu na wanawake zaidi ya ndugu na mama.
ni mental health kwakweli, yani unawezaje kua hivo na wewe ni kijana? ati unaenjoy kukaa peke yako, unaficha nini usichotaka watu wajue?Ujinga tu, mental health mmeanza kuitafutia majina mazuri mazuri?! Ati introvert?! Nendeni Mirembe mkatibiwe
ndo nyinyi mnakariri ya kwamba introvert hawawezi kuwa na vipaji!, introvert hawezi kujieleza hivi uso kwa uso ila skills yakuandika ni viumbe wengine!.. huwezi ukaweza kila kitu na hauwezi ukashindwa kila kitu!..Introvert ?
sidhani Kama ungeweza kuandika hata p'graph 2
Na kuna wengine wanakuogopa mpk akiwa anajambo anataka kulifikisha kwako anajiuliza aanzie wapi...🤣