Nimapita mitaa yote hiyo lakina napata kinyaa tu
NASHANGAA SANA KUSIKIA ETI MAVAZI FULANI YA WANAWAKE HUCHANGIA KUONGEZA MAAMBUKIZI YA hiv. HIVI WANAWAKE KUKAA VIBAYA AU KUVAA VIBAYA INAWAHUSU NINI NYIE WANAUMEWA KIAFRIKA?
MBONA WAZUNGU WAO SIO SHIDA
MIMI NAAMINI MWANAMME KUNTAMANI MWANAMKE KWA VILE AMEONA NYETI AU AMEVAA NGUO ZA KUTAMANISHA ILE HALI HATA MWANAKE HUYO HATA HAMJUI LAZMA NI CHIZI. KWANI NJAA INAUMA WAKATI UMEONA MENU? KWANINI TUSIWAZE KUNYWA BAADA YA KUONA RANGI YA LAGER?
Miruzi mingi hupoteza mbwaYooi Habari zenu ndugu zangu.,kama nipo katika wakati mgumu hivi..kuna Girl anakujaga Sana ofisini kwetu kwa rafiki yake..mazoea ya Mara kwa tukajikuta tumezoeana Sana..mtoto mkali balaa,taa zimewaka kwangu,na kwake PIA.,plus am single natamani nijiweke..but rafiki yake ambae Ni Mfanyakazi mwenzangu anasema Girl anatumia Dawa..sijui nifanyaje..naombeni ushauri..,sometimes nahisi kama Ana wivu ananitisha..mazee nijiweke au nikaushe??
ioi iyooMpe dawa ya UKIMWI kwanza
Piga tu...kwani ukimwi kitu gani?Yooi Habari zenu ndugu zangu.,kama nipo katika wakati mgumu hivi..kuna Girl anakujaga Sana ofisini kwetu kwa rafiki yake..mazoea ya Mara kwa tukajikuta tumezoeana Sana..mtoto mkali balaa,taa zimewaka kwangu,na kwake PIA.,plus am single natamani nijiweke..but rafiki yake ambae Ni Mfanyakazi mwenzangu anasema Girl anatumia Dawa..sijui nifanyaje..naombeni ushauri..,sometimes nahisi kama Ana wivu ananitisha..mazee nijiweke au nikaushe??
mbwa dume ushauri Wako nimependaPiga tu...kwani ukimwi kitu gani?
Mbona hata viongozi wanao.!