Jensen salamone
JF-Expert Member
- Sep 28, 2019
- 320
- 641
Tunaelekea kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani so tarajieni nyuzi nyingi kama hizi mpaka ifikapo tarehe 1 December, 2019
Yawezakana pia yaweza kutowezekana, maana waweza kujua afya yako lakini ukakutana na mtoto mkali ukauza GAME chiefSiku unajikaza tu unaenda kupima, baada ya kupata uhakika wa afya yako sasa kabla hujakutana na mtu mnapima afya maana utakua unajiamin n itakuepusha kupata maambukizi.
. Mambo ya kupima pima tena kabla ya "game" ukayasahau na kuyaweka kapuni!
.Ahahahahahah jamaa unawalaza Pema Peponi kabla hawajafaNimekua msomaji mzuri tuu wa JF, lakn siku mbili hizi kumekua na threads kibao zinazoongelea kuhusu members wa hapa kuungana kwenye grid ya taifa "kupeana miwaya" kwa makusudi.
hivi ni kweli?? Maana naona wake kwa waume wanaweka hadi picha zao zinazoonyesha majibu ya vipimo kua wako salama!
bora sikua na wazo LA kuwa na mwanamke katika mtandao huu, wote walioungwa na grid ya taifa nawapa pole sana ndio wajifunze kua mitandaoni kumeoza.
MUNGU AZILAZE ROHO ZAO MAHALA PEMA PEPONI HUKO WATAKAPOENDA![]()
Hivi utamfananisha vip mwanamke nnaeish nae mtaa mmoja, najua mienendo yake, hata kama siijui vizuri wapo watu wake wa karibu wa kuwauliza, utafananisha na hawa wa mtandaoni ambao mnakutana tuu hunachochote unachojua kuhusu yeye??? Jipeni tuu moyo, kwa style hii mtaendelea kupeana sana ukimwi humu ndanWaliopo JF ndio hao hao wa mitaani...
JF inaunganisha tu watu wenye intaneti wenye utashi wa kutumia majukwaa ya mtandaoni...
Watakufa tuu hamna namnaAhahahahahah jamaa unawalaza Pema Peponi kabla hawajafa

Mimi mwanamke wakiafrika cpendi kabisa avae nguo inayoonesha mistari yagoti lake..nishukuru ustarabu ninao..chumba kimoja ningejaza kondomNASHANGAA SANA KUSIKIA ETI MAVAZI FULANI YA WANAWAKE HUCHANGIA KUONGEZA MAAMBUKIZI YA hiv. HIVI WANAWAKE KUKAA VIBAYA AU KUVAA VIBAYA INAWAHUSU NINI NYIE WANAUMEWA KIAFRIKA?
MBONA WAZUNGU WAO SIO SHIDA
MIMI NAAMINI MWANAMME KUNTAMANI MWANAMKE KWA VILE AMEONA NYETI AU AMEVAA NGUO ZA KUTAMANISHA ILE HALI HATA MWANAKE HUYO HATA HAMJUI LAZMA NI CHIZI. KWANI NJAA INAUMA WAKATI UMEONA MENU? KWANINI TUSIWAZE KUNYWA BAADA YA KUONA RANGI YA LAGER?
Hivi utamfananisha vip mwanamke nnaeish nae mtaa mmoja, najua mienendo yake, hata kama siijui vizuri wapo watu wake wa karibu wa kuwauliza, utafananisha na hawa wa mtandaoni ambao mnakutana tuu hunachochote unachojua kuhusu yeye??? Jipeni tuu moyo, kwa style hii mtaendelea kupeana sana ukimwi humu ndan
Piga tu...kwani ukimwi kitu gani?
Mbona hata viongozi wanao.!
Naona mmeanza kuulaani uzi wa kunyanduana kimaskhara eehhh....!!??Hii week itakua chungu sana kwa wale Mabaharia walio kula tunda kimasihara.
Umakini ni muhimuKama mtu umeshakutana na wanawake kibao lazima uwe na hofu hata kama hukucheza rafu..
Hahahaaa ila ukiwa muoga wa kuugua bas utakua makin sana no matter the conditionYawezakana pia yaweza kutowezekana, maana waweza kujua afya yako lakini ukakutana na mtoto mkali ukauza GAME chief. Mambo ya kupima pima tena kabla ya "game" ukayasahau na kuyaweka kapuni!
Maana si unajua morale ya "game" tena haswa ikiwa karibu karibu, mambo yote husahaulika.
Wa mtandaoni ni walewale wa mtaani wenye smartphone af kumbuka ukimwi kuupata sio hadi mtu awe mhuni, unaweza kujitunza vema then ukakutana na mtu mmoja na hapo hapo akakuambukiza. So sio ishu ya kufrahia hii, la muhimu ni kuwa tu makin na usimnyooshee kidole aliyeathirika maana hujui kesho yako mkuuHivi utamfananisha vip mwanamke nnaeish nae mtaa mmoja, najua mienendo yake, hata kama siijui vizuri wapo watu wake wa karibu wa kuwauliza, utafananisha na hawa wa mtandaoni ambao mnakutana tuu hunachochote unachojua kuhusu yeye??? Jipeni tuu moyo, kwa style hii mtaendelea kupeana sana ukimwi humu ndan
Si ndio hapo mkuu
Mimi nimemfata pm
Tuma picha ya vyeti