Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,026
- 74,704
Kama ni mshauri wa RAIS wa mambo ya siasa mbona anapatikana Lumumba tuu? Tena akiwa na mavazi ya ccm ?Petro magoti ni mshauri wa rais kwenye mambo ya siasa, kumbuka rais ana washaur wengi, wengine wanamshauri mambo ya uchumi, yeye Petro ni mshauri wa siasa
Washauri wa Rais ni waajiriwa wa serikali!