monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,888
- 13,644
Noma sana!Yupo mwingine ana kama kibiongo somebody T.Magoti
Noma sana!Yupo mwingine ana kama kibiongo somebody T.Magoti
Mkuu, sikubaliani na wewe kwa kufikiri kumuita mtu kwa jina/neno lenye kuonyesha ulemavu wake ni kumbagua au kumtukana.
Ndio maana nikasema ikiwa hivyo, hata kutumia neno ulemavu/mlemavu kwenye kauli yako ni ubaguzi tosha!
Sio kila wazo au fikra ya kimagharibi ni sawa/nzuri/ya kukumbatiwa ndugu yangu.
Aiseeee!!!if you believe in reincarnation, huyu jamaa anaonekana alikuwa mtu hatari sana in his previous life ndo maana akazaliwa hivyo alivyo hivi sasa iliaweze kumrudia muumba wake na asamehewe madhambi yake, lakini ubaya wa bahati ile roho ya ukatili bado inanguvu ndani yake, katika next life atazaliwa mti.
Wote tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu.if you believe in reincarnation, huyu jamaa anaonekana alikuwa mtu hatari sana in his previous life ndo maana akazaliwa hivyo alivyo hivi sasa iliaweze kumrudia muumba wake na asamehewe madhambi yake, lakini ubaya wa bahati ile roho ya ukatili bado inanguvu ndani yake, katika next life atazaliwa mti.
Sisi ni walevi tunakesha barNi bro ake na huyu.
Kwanini, ongeza nyama kidogo mkuuMzee Mangula hataki kusikia jina la huyo jamaa
Sawa ni Kwa mfano wa Mungu kwamba katupa uwezo wa kujuwa mema na mabaya na uwezo wa kumwabudu lakini siyo Kwa maana ya kufanana naye Kwa sura na umbo.Wote tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu.
Sasa itakuwaje?Huyu ni poison master , he was the one who poisoned Deputy CCM chairman Phillip Mangula by order from above . One of the tiss officers.
Afu nilihisi kitu kama hicho hata kabla sijakutana na comments kama hii. Ni hisia zangu tu sijui kwa niniHuyu ni poison master , he was the one who poisoned Deputy CCM chairman Phillip Mangula by order from above . One of the tiss officers.
Lile tukio la mzee kulishwa sumu kama alivyoeleza aliyekuwa RPC wa Dar Lazaro Mambosasa huyu mwamba ndiye ananyooshewa kidole.Kwanini, ongeza nyama kidogo mkuu
How could intelligence recruit disabled person?Huyu ni poison master , he was the one who poisoned Deputy CCM chairman Phillip Mangula by order from above . One of the tiss officers.
Hata disabled people Wana haki ya kuajiriwa kwenye Vyombo vya Ulinzi.How could intelligence recruit disabled person?
Kumbe hawa Tiss wanaitumikia ccm!Hata disabled people Wana haki ya kuajiriwa kwenye Vyombo vya Ulinzi.
Kwa mfano hapo TISS Kuna maafisa kazi yao ni kuchambua taarifa tu, nafasi ambayo hata huyo Tito alikuwa na uwezo wa kufanya
Mara ya mwisho kuonana na Tito alikuwa ana-deal na mambo ya Logistics kwenye vikao/mikutano ya Rais ikiwemo kuangalia kama Maji yameisha kwenye Meza ya Rais/kubadirisha Mic n.k