Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

magoti ni mtu mwema sana,ni
*comred magoti anamkanda flani wa comfuu(black belt)
*ni mwanachama wa umati
*unauhusiano na mapdre flani happ mwanza,
*kaka yake ni mwalimu flani wa kimombo na ndipo alipowahi kukaa huko busweru
*ana kaka zake na ndugu wanajeshi na makomando
*alipata four siyo nzuri form six
*alilisiti lisiti sana hadi kuingia kidato cha sita,
ila hiyo nafasi hatujui aliipataje yani
 
Uongo mkubwa huu.

Hakuna chombo cha ulinzi kinachochukua mtu ambaye ana mapungufu ya viungo kutokana na pirika za kazi hizo.

Huyo ni unfit hawezi kwenda kwenye mafunzo yoyote.

Heh watanzania mmezidi sasa..
Ndivyo ulivyoambiwa????
 
Kama huyo jamaa aliyeshikana mkono na huyo manzi 'mkali' kulingana na macho yangu! Basi kuna ulazima wa kuendelea kupambania fedha/madaraka, au vyote! Ili tuweze kufaidi mema yote ya nchi hii!!
Ukiwa na pesa (ya kutosha) au pana na kila unachohitaji kipo.

Hizi pesa baada ya matumizi yote na si kwenye akaunti ya akiba yaani savings huitwa Disposable Income.

Watu wengi huitafuta hii kwani ndo huendesha maisha ya kila siku na ni baada ya kulipa masuala kama kodi zote muhimu, makato yote na zile twaita House and utility bills.

Na hata kama una mkopo benki huo hauhusiki na kuingilia hii "Disposable Income".

Sasa watu wengi wakipata nafasi au chance mahala basi hutafuta hii kwa kupiga deals na mengine.

Ukiwa nayo hii hata wataka uonekane wa kawaida, wale wenye kunusa fedha watakugundua.

Kama huna hii "Disposable Income" basi sahau maisha.
 
Magoti awe TiSS? Hahaha labda kawa TISS baada ya kupata kazi kwa Polepole.

Nilisoma naye huyu jamaa. Ni CCM tangu chuo baada ya chuo akaenda kua katibu wa Polepole.

Nafikiri bado ni katibu wa Polepole.
Udom au? Kwahiyo mkuu wewe tiss unawajua?
 
Ndugu Wana jukwaa
Kwenye vikao vya ccm huwa nikimuona Akiwa busy kuangalia huku na huko Kama Kuna vitu anavichunguza

Huyu kijana kimaumbile Ni mfupi Sana anakuwa Kama anakibyongo ivi, anaonekana yupo smart na anaamimi anachokifanya
Naomba kumjua ninani huyu,na nikwanini yeye huwa hatambulishwi licha ya kuonekana Ni Wa muhimu sana katika hata vikao na mikutano mikubwa

Naomba kumjua huyu mtu
 
Anaaeza kuwa chawa tu anajipitisha kwa wakubwa aonekane.
 
Ndugu Wana jukwaa
Kwenye vikao vya ccm huwa nikimuona Akiwa busy kuangalia huku na huko Kama Kuna vitu anavichunguza

Huyu kijana kimaumbile Ni mfupi Sana anakuwa Kama anakibyongo ivi, anaonekana yupo smart na anaamimi anachokifanya
Naomba kumjua ninani huyu,na nikwanini yeye huwa hatambulishwi licha ya kuonekana Ni Wa muhimu sana katika hata vikao na mikutano mikubwa

Naomba kumjua huyu mtu
Picha iko kichwani mwako.
Hatumjui!
 
Back
Top Bottom