Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Ni mmoja ya maafisa wa Ikulu.

Wakati wa JPM alikuwa Afisa Chamani.
Awamu hii ya Sita ndiyo amerudishwa Ikulu.

Kutokana na hali yake, mara nyingi hukaa high table kwaajili ya ku-monitor meza kuu alipo Mhe. Rais
 
Huwa ana monitor nini meza kuu?
 
"huyu kiwete" what a way to call a human being. Mlemavu/kichaa anachekesha kama sio ndugu yako.
 
Kwani hana haki yake ya freedom of movement and association?..........jamani huyu alikua Raisi wa hi nchi kwa miaka 10 anaushawishi mwingi kuuza chama au kua mshauri mkuu wa Raisi acheni JK awe huru.
kiwete na SIO Kikwete
 
Back
Top Bottom