Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,924
- 60,416
Muulize shangazi
Labda kamati ya ufundi
Labda kamati ya ufundi
HuyoPicha iko kichwani mwako.
Hatumjui!
Muulize KIGOGO 2014 na Mzee MANGULA
zamu yake sasaInasemekana ni silent killer
Eti hawa ndio think tank wa ccm.pathetic
Kuna ile siku Hangaya ametoka kutalii ulaya,kwenye mapokezi yake nikamuona huyu jamaa nae yuko kwenye inner circle ya viongozi walioenda kumpokea Hangaya.nikajiuliza huyu nae ni nani huko serikalini au kwenye chama Chao?Anaaeza kuwa chawa tu anajipitisha kwa wakubwa aonekane.
Labda aulizwe Mangula maana kwa sasa kesha staafu.Najiuliza tu. Kwa nini huyu jamaa anachukiwa hivi? Sababu ni TISS au sababu ni CCM?
Petro magoti ni mshauri wa rais kwenye mambo ya siasa, kumbuka rais ana washaur wengi, wengine wanamshauri mambo ya uchumi, yeye Petro ni mshauri wa siasaNajiuliza tu. Kwa nini huyu jamaa anachukiwa hivi? Sababu ni TISS au sababu ni CCM?
Labda sababu ni mlemavu, si unajua jamii nyingi ya Kitanzania ila mimi namwona ni mtu poa sana.Najiuliza tu. Kwa nini huyu jamaa anachukiwa hivi? Sababu ni TISS au sababu ni CCM?
Mzee Mangula unamkumbuka ?Najiuliza tu. Kwa nini huyu jamaa anachukiwa hivi? Sababu ni TISS au sababu ni CCM?
Unao Ushahidi?Mzee Mangula unamkumbuka ?
Mangula kahamishia makao ya uzeeni Kyela akajaribu kilimo cha mpunga.Mzee Mangula unamkumbuka ?
HahahahahahahahahahahajjajananPepo lipi? Linalosababisha watu wawe magaidi au?
kumkumbuka Mangula ishakuwa dhambi ?Unao Ushahidi?
Tujitahidi kupunguza dhambi
Amefika kipindi kizuri sana maana Mwakyembe kishatafuta soko la mchele MarekaniMangula kahamishia makao ya uzeeni Kyela akajaribu kilimo cha mpunga.
Nishasahau kama Mwakyembe ndiye mbunge huko. Hasikiki siku hizi.Amefika kipindi kizuri sana maana Mwakyembe kishatafuta soko la mchele Marekani