Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Kumbe hawa Tiss wanaitumikia ccm!
Hujamwona aliyekuwa Mlinzi wa JPM alikuwa naye hadi kwenye Vikao vya Chama.

Katiba yetu ya Nchi imeshindwa kutenganisha Chama na Serikali

Ndiyo maana Kwa Katiba yetu, ni vigumu sana kukiondoa Chama Tawala kupitia Sanduku la Kura
 
Back
Top Bottom