Nini maana ya Kiwete/kiziwi na nini maana ya mlemavu?kumuita mtu kiwete au kiziwi ni discrimination, wanaitwa watu wenye ulemavu, …
Ni mentor wa Bi mkubwaNamuona anatoka kanisani akiwa nyuma ya Rais Samia na kila mahali anapokwenda Rais huwa namuona kwenye itifaki. Kuuliza siyo ujinga huyu kiwete ni nani na ana kazi gani hapo Ikulu?
katibu wa raisi alikuwepo toka enzi za magu yupo ikuluNamuona anatoka kanisani akiwa nyuma ya Rais Samia na kila mahali anapokwenda Rais huwa namuona kwenye itifaki. Kuuliza siyo ujinga huyu kiwete ni nani na ana kazi gani hapo Ikulu?
Anafanya kazi gani?Ni mfanyakazi wa jumba jeupe
Alikuwepo toka enzi za Magufuli.
Nimekuelewa labda mganga wa ikulu hatuwezi kujua.I can't say it all here
Ila Usalama una mambo mengi Mkuu
Elimu elimu elimu...Kwani hana haki yake ya freedom of movement and association?..........jamani huyu alikua Raisi wa hi nchi kwa miaka 10 anaushawishi mwingi kuuza chama au kua mshauri mkuu wa Raisi acheni JK awe huru.
Tuishi humo 🤗Nimekuelewa labda mganga wa ikulu hatuwezi kujua.
Duh!Huyu ni poison master , he was the one who poisoned Deputy CCM chairman Phillip Mangula by order from above . One of the tiss officers.
Duh!Huyo ndio mastermind wa CCM anayetumika pale tu wanapotaka kumuondoa mtu Duniani kwa kutumia Poison.
Mkuu hapana, wahenga hawa kumaanisha hivyo. Usiwafanye wahenga wetu waongo, wabaya na wabaguzi.kumuita mtu kiwete au kiziwi ni discrimination, wanaitwa watu wenye ulemavu, …
Mkuu hapana, wahenga hawa kumaanisha hivyo. Usiwafanye wahenga wetu waongo, wabaya na wabaguzi.
Kama ni ubaguzi, basi hata kutumia neno ulemavu ni ubaguzi!
Kuwaita watu kwa kutumia neno linalo akisi ulemavu wao sio ubaguzi na kamwe sio tusi.
Mkuu, sikubaliani na wewe kwa kufikiri kumuita mtu kwa jina/neno lenye kuonyesha ulemavu wake ni kumbagua au kumtukana.ubaguzi ni awareness na awareness inakwenda na time mfano kuna wakati watu wengi nje ya afrika waliamini kabisa kwamba sisi siyo binadamu kamili tuliitwa nigga miaka ya zamani ilikuwa ni kawaida kumuita mtu mweusi nigga leo hii ni ubaguzi na unaweza kushitakiwa kwa kumuita mtu mweusi nigga, nini kimetokea? ni awareness, hivyo kwa kuwa tu wahenga wetu walibagua watu walio na ulemavu haimaanishi na wewe leo ufanye hivyo kwani you know better, wahenga waliua pia watu walio kuwa na macho mekundu sababu they didnt know any better, macho mekundu ni allergies ambapo mtu yoyote anaweza kupata, leo hii we know better.
Hivyo kumuita mtu kiwete au zeruzeru siyo sawa wanaitwa wenye ulemavu wa ngozi …