Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,553
Uzao wa binadamu na uzao wa majini kupitia mfano wa watu
Usikute umeghilimishwa ubongo (you've been brainwashed), maana unasahau hao jamaa weupe unaowasifia wamegoma kuondoa magoti yao ya uhonyoaji kwenye shingo za rasilimali tele za Bara la Afrika. Jaribu kuwaza zaidi ya hapo.Hata nae alikuwa ni mnufaika angepigwa nyumba Kama tatu hivi za ustaafu angeufyata Kama mzee mwinyi.
Weupe ndo wenye uwezo wa kuacha maslai yao binafsi kwa faida ya jamii na sio mwafrika.
Mwafrika hawezi acha shibe yake akutee wewe
Au H2S.Inasemekana ni silent killer
Fuatilia utajuaHuyu ni mwana-CCM anayemwelewa Rais Magufuli, amejisikia poa kumwona live mtu anayemwonaga kwenye shideo tu ila leo kameet nae! Wewe unadhani ni nani mkuu?
Yupo CCM Makao makuu anapishana kwenye korido na akina Pole pole na Bashiru hivyo yeye kukutana na Magufuli ni rahisi mno, tuseme ni kama msaidizi wake kwenye Chama.Huyu ni mwana-CCM anayemwelewa Rais Magufuli, amejisikia poa kumwona live mtu anayemwonaga kwenye shideo tu ila leo kameet nae! Wewe unadhani ni nani mkuu?
Ni lazima uwe na cheo ndio upige picha na Magufuli?Huyu mtu aliyepiga picha na Dkt. Magufuli ana cheo gani ndani ya CCM ?View attachment 1618318
Magoti awe TiSS? Hahaha labda kawa TISS baada ya kupata kazi kwa Polepole.Huyu ni poison master , he was the one who poisoned Deputy CCM chairman Phillip Mangula by order from above . One of the tiss officers.
Hujui kuwa tangu Jiwe aingie madarakani mambumbumbu wengi wa kijani wameingizwa TISS?Magoti awe TiSS? Hahaha labda kawa TISS baada ya kupata kazi kwa Polepole.
Nilisoma naye huyu jamaa. Ni CCM tangu chuo baada ya chuo akaenda kua katibu wa Polepole.
Nafikiri bado ni katibu wa Polepole.
Kwani TISS anakuwa kabandikwa chapa usoni?Magoti awe TiSS? Hahaha labda kawa TISS baada ya kupata kazi kwa Polepole.
Nilisoma naye huyu jamaa. Ni CCM tangu chuo baada ya chuo akaenda kua katibu wa Polepole.
Nafikiri bado ni katibu wa Polepole.
Magoti awe TiSS? Hahaha labda kawa TISS baada ya kupata kazi kwa Polepole.
Nilisoma naye huyu jamaa. Ni CCM tangu chuo baada ya chuo akaenda kua katibu wa Polepole.
Nafikiri bado ni katibu wa Polepole.
Mr. Mlisha sumu. Kamuulize Phillip Mangula anaujua muziki wakeHuyu mtu aliyepiga picha na Dkt. Magufuli ana cheo gani ndani ya CCM ?View attachment 1618318
Huyu ndo anatumwaga kuwawekea wabishi sumuHuyu mtu aliyepiga picha na Dkt. Magufuli ana cheo gani ndani ya CCM ?View attachment 1618318
Sijui. Kama kawa tiss baada ya chuo nakubali.Hujui kuwa tangu Jiwe aingie madarakani mambumbumbu wengi wa kijani wameingizwa TISS?
Hapana.Kwani TISS anakuwa kabandikwa chapa usoni?
Jifunze logic. Logically ni kwamba nimeishi naye muda mkubwa kiasi kwamba angekua basi hata a tiny shred ingeonekana.Kwani kusoma naye ndio kunazuia yeye kuwa huko?
Aisee...Yupo CCM Makao makuu anapishana kwenye korido na akina Pole pole na Bashiru hivyo yeye kukutana na Magufuli ni rahisi mno, tuseme ni kama msaidizi wake kwenye Chama.
Nauliza tu na mie... hivi kwanini chama hiki kina "katuni mtu" wengi? Achilia mbali wavuta ganja na....Ni bro ake na huyu.View attachment 1618322