Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,887
- 7,037
Wikiendi hii kuna ubwabwa umeliwa sehemu kwa ajili ya hawa watu wawili. Hongera kwao.
Wikiendi hii kuna ubwabwa umeliwa sehemu kwa ajili ya hawa watu wawili. Hongera kwao.
Ana kweli.vijana tafuteni pesa[emoji1787]Mwanakamati, kamati ya roho mbaya...
Huyo ndio mkewe??? Kweli pesa ni jibu la kila kituView attachment 1925377
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3]duuh eti kama mlevi mwenye ulemavu. Mkuu si ungesema tu mlevi
MhhhhIla Magoti handsome bonge la bwana na anajiamini haswaaa.
Basi watu watasema nimemsifia sababu pesa ipo.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Tafuteni hela tu
Israili
Nimeona anavuta jiko clip zipo mitandaoni, msafara wake unaongozwa na Pikipiki ya Police
Huyu namfananisha na mtu mmoja kwenye novel za James Hadley Chase akiitwa Vitto Ferrari. Akikukosa hufi tena hapa duniani. Ukimpa assignment anauliza unataka ionekane vipi, suicide, mudder, accident, natural death........ . Na alikuwa na muonekano kama huyu comrade.if you believe in reincarnation, huyu jamaa anaonekana alikuwa mtu hatari sana in his previous life ndo maana akazaliwa hivyo alivyo hivi sasa iliaweze kumrudia muumba wake na asamehewe madhambi yake, lakini ubaya wa bahati ile roho ya ukatili bado inanguvu ndani yake, katika next life atazaliwa mti.
😄🤣😂Huyu ni poison master , he was the one who poisoned Deputy CCM chairman Phillip Mangula by order from above . One of the tiss officers.
Ni yule anayejulisha apointimenti zinazopangwa ili usije ukashangaa siku ikifika.
Hii ni kwa mujibu wa yule jamaa yenu mtwita?Huyu namfananisha na mtu mmoja kwenye novel za James Hadley Chase akiitwa Vitto Ferrari. Akikukosa hufi tena hapa duniani. Ukimpa assignment anauliza unataka ionekane vipi, suicide, mudder, accident, natural death........ . Na alikuwa na muonekano kama huyu comrade.
Huyo amesha compromise na Msoga Gang bifu lake lilikuwa kwa dhalim mwendazake tu. Ila kama wewe ni Sukuma Gang bado ni mtu mbad kwako pia,hana ideology yeye ni opportunist tu. He has a family to feed, na kwa swali lako siyo, hii ni kwa mujibu wa chanzo chetu ndani kabisa.Hii ni kwa mujibu wa yule jamaa yenu mtwita?
Mbona chadomo mnamuamini sana?Huyo amesha compromise na Msoga Gang bifu lake lilikuwa kwa dhalim mwendazake tu. Ila kama wewe ni Sukuma Gang bado ni mtu mbad kwako pia,hana ideology yeye ni opportunist tu. He has a family to feed, na kwa swali lako siyo, hii ni kwa mujibu wa chanzo chetu ndani kabisa.
Hatujawahi kumuamini issue we had a common enemy with different causes,now it's the opposite. Issue ya Mbowe ulitaka tuzuie at gun point? Si unaona mtanange unavyokwenda. Unavuka daraja unapolifikia.Mbona chadomo mnamuamini sana?
Sasa hivi akisema kitu mnamtukana ila mwanzo akisema tu mnashangilia?
Alafu hicho chanzo chako cha ndani kilishindwa kukupa taarifa kama Mbowe atakamatwa?
[emoji87][emoji87][emoji849]kaoa juziHuyu ni poison master , he was the one who poisoned Deputy CCM chairman Phillip Mangula by order from above . One of the tiss officers.
[emoji849][emoji87]duhHuyo ndio mastermind wa CCM anayetumika pale tu wanapotaka kumuondoa mtu Duniani kwa kutumia Poison.