kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,389
- 22,954
nimecheka kwanguvu kabisa ninashinda nae tegeta ukimkuta baa kama mlevi mwenye ulemavu ila kiunoni hakosagi mguu wakukuFi-t-na
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
nimecheka kwanguvu kabisa ninashinda nae tegeta ukimkuta baa kama mlevi mwenye ulemavu ila kiunoni hakosagi mguu wakukuFi-t-na
Kumbe umeliona hilo.Wadada wanakwambia Cash,Cash,six pack tupa kulee...
anhaaaInasemekana ni staff wa ikulu mambo ya usalama wa nchi yetu
Kigogo wa sasa vijana wadogo wa Chadema wanajipigia tu watakavyo.Huyu ndo inasemwa alikua wa mwisho kugusa bilauri ya Makamu wa CCM Mangula kabla hajapewa sumu hii ni kwa mujibu wa kigogo yule wa zamani.
Kalipelekwaga huko Ulaya na Magu kusomea mambo ya ujasusi. Kabla ya hapo kalikuwa kajumbe ka NEC-CCM huko Lindi. Kanajuaga kuupiga mdomo kweli yani ni kamwanansiasa na kanatumia mdomo wake kupanda chatiHuyo nilishamsoma kwa Kigogo2014 eti alimpa sumu Mangula. Sijui kama ni kweli. Sema anafanya kazi Lumumba na alikuwa benet sana na Jidabhunga aliyebhunga.
Kwasababu anatetea asichokijuaKigogo wa sasa vijana wadogo wa Chadema wanajipigia tu watakavyo.
Kwa sababu kaamua kujitoa kwenye kundi la nyumbu?Kigogo wa sasa vijana wadogo wa Chadema wanajipigia tu watakavyo.
Peter Magoti ni afisa mwandamizi wa TISS. Ni mtoto wa mzee Magoti mkuu wa chuo mstaafu chuo kikuu cha mwl Nyerere pale kivukoni.Salaam wakuu..
anayejua info za huyu jamaa anaitwa peter magoti. Naona amefunga ndoa ila walioshiriki shuguli hyo, ni watu wazito sana; kama Mh. Rais SSH, IGP .. n.kView attachment 1925300View attachment 1925303View attachment 1925304
nimecheka kwanguvu kabisa ninashinda nae tegeta ukimkuta baa kama mlevi mwenye ulemavu ila kiunoni hakosagi mguu wakuku
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Hata kina Maria Sarungi hawana jipya. Kumbe Ngosha ndo alikuwa anawapa content.Nimeamini Hata Simba Huzeeka Na Kula Nyasi..Kigogo Alikua anatisha...Anaogopeka leo hii Ukawa Humyandua akatulia kimya...Dah kumbe Kifo cha Mwamba sio tu kimemuumiza Msiba....Hata Kigogo ameshuka sana baada ya Kifo cha Mwamba.
Kama fedha na vyote alivyonavyo amevipata kihalali bac awe na maisha mema na ndoa yakeNi kijana mzalendo miongoni mwa vijana wazalendo wa nchi hii!
Ni kada mtiifu mwenye maono kuntu wa chama bora barani afrika(CCM)......
Mwenyezi Mungu awape afya njema yeye na mkewe aaamin aaamin ,aibariki ndoa yao kwa kizazi bora chenye nidhamu kwa Mungu na nchi Yao aaamin aaaamin[emoji120]