Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Ni rafiki kipenzi wa

2912925_IMG_0224.jpg


2912924_IMG_0223.jpg
 
Huyu mtu aliyepiga picha na Dkt. Magufuli ana cheo gani ndani ya CCM?

View attachment 1618318
Huyu anaitwa Magoti,

Nilisoma naye chuo kimoja hapo mwalimu nyerere kigamboni 2016

Ni mtoto wa Dr Magoti aliyewahi kuwa mkuu wa hicho chuo.

Yupo ofisi za CCM Lumumba.
Ni miongoni mwa maafisa wa C.C.M hapo makao makuu ya chama.
 
Salaam wakuu..
anayejua info za huyu jamaa anaitwa peter magoti. Naona amefunga ndoa ila walioshiriki shuguli hyo, ni watu wazito sana; kama Mh. Rais SSH, IGP .. n.k
C67A2128-5914-4475-9957-24A25DDBD904.png
40F5B691-4B5F-454A-BBB5-64FC8E4CEAC9.png
62A622F6-10FF-47BF-9004-B44AC6B85A83.png
 
Back
Top Bottom