Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

Uongo mkubwa huu.

Hakuna chombo cha ulinzi kinachochukua mtu ambaye ana mapungufu ya viungo kutokana na pirika za kazi hizo.

Huyo ni unfit hawezi kwenda kwenye mafunzo yoyote.

Heh watanzania mmezidi sasa..
Siyo assignments zote zinahitaji physical muscle, zingine ni utimamu wa akili tu. Si unajua kumchinja kobe ni timing tu inatakiwa.
 
Nimeona anavuta jiko clip zipo mitandaoni, msafara wake unaongozwa na Pikipiki ya Police
Yaani nimeona harusi yake,mpk mama Rais Samoa kaenda kanisani kushuhudia!
Ukumbini ,watu wote wazito wakupngozwa na Kamanda Siro usifanye mchezo
 
Hatujawahi kumuamini issue we had a common enemy with different causes,now it's the opposite. Issue ya Mbowe ulitaka tuzuie at gun point? Si unaona mtanange unavyokwenda. Unavuka daraja unapolifikia.
Jamaa yenu sasa hivi anawaita nyie ni intaramwe wakati mlikuwa pamoja.

Mngekuwa na intelligent hiyo mngetambua kama Mbowe atakamatwa ili mujiandae..
 
Acheni kudanganyana wakuu.

Ni upuuzi kuamini kuwa katika kazi za ulinzi anaweza kuajiiriwa hata mtu kilema,ni upuuzi mkubwa sana.

Vyombo vyote vya ulinzi na usalama recruit wwanapoenda kozi huenda kwa pamoja,hufanya mafunzo kwa pamoja wakati wwote wa mafunzo,kama jambo la akili watafanya wote,kama jambo la muscles watafanya wote n.k

Wakishamaliza mafunzo yao ndio zoezi la kupewa vitengo linapoanza.
Sasa aliyekuambia huyo ni mlinzi ni nani? Hujui kitu wewe ni mtoto sana kwenye haya mambo nyamaza tu.
 
Jamaa yenu sasa hivi anawaita nyie ni intaramwe wakati mlikuwa pamoja.

Mngekuwa na intelligent hiyo mngetambua kama Mbowe atakamatwa ili mujiandae..
Kila jambo lina wakati wake,kuna wakati wa kulia na wakati wa kucheka na siku zote anayecheka mwisho ndiye hucheka saaana.
 
Nyie mnaoishi kwa kutegemea tozo ndiyo mnalia sisi tumeshazoea kujitegemea. Nyie mabroiller mwisho wenu ni kuwa mashoga tu kwani tuendako hata hizo posho mtakosa na hamjazoea kutafuta hela.
Unaandika kwa hasira sana,,

Kwanini hizi hasira usiende kumalizia pale kisutu kwa gaidi wako?
 
Hasira unayowewe usiyekuwa na uwezo kujiingizia hata senti kwa siku. Sisi tunaishi kwa raha zetu no matter what. Raha ya mwanaume ujiweze siyo uwezeshwe.
Hii coment inanikumbusha mahubiri ya Mwinjilisti wangu aliesema kwamba ukiona baba anafika nyumbani alafu anaanza kujigamba kwa wanawe na mkewe kwamba "mimi ndio baba hapa" ujue kuna shida.

Kwa hiyo wenye hela wala hawahitaji kujitambulisha.

Unatutia aibu wanaume.
 
Jamaa yenu sasa hivi anawaita nyie ni intaramwe wakati mlikuwa pamoja.

Mngekuwa na intelligent hiyo mngetambua kama Mbowe atakamatwa ili mujiandae..
Mbona nyie hamkujua mapema kama lile pepo litakufa kwa kovidi?
 
Sijui. Kama kawa tiss baada ya chuo nakubali. Hapana. Jifunze logic. Logically ni kwamba nimeishi naye muda mkubwa kiasi kwamba angekua basi hata a tiny shred ingeonekana.

Anyway, huyu jamaa alikua ana tatizo fulani hivi ni personal mno hiyo ishu siwezi kuitaja as ni faragha yake.

Kama ingekua duties zinamtaka awe pale chuo hilo tatizo hata lisingetakiwa kutokea.

Aliyemsaidia Magoti alikua katibu (naye alikua mwanafunzi pia) wa mbunge mmoja wa jimbo moja la Kaskazini huko.

Now niambie ni TISS gani atapata tatizo la kuhatarisha mishen halafu msaada aje kugewa na mtu mwingine kabisa?
Tea-See? Au Teeth au ni TC?
 
Back
Top Bottom