Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,456
- 72,236
Mim
Mimi ni KE mkuuMkuu, wewe ni Me..naomba kujua, samahani lakini.
Mimi ni KE mkuuMkuu, wewe ni Me..naomba kujua, samahani lakini.
Vipi wewe unawatumia-ga wasupuu?Sawa mzee mwenzangu
Hadi Leo zipo mtandaoni weeeee siezi nashukuru mungu Mume wangu hajawahi niomba hizo picha tokea enzi za mwalimuAliadhiriwa?? Jamaa alivujisha?
zinahamsha hisia flan za kusaidia kupiga nyetoUnazifanyia nini mkuu??
Kutokuruka stage kuna umuhimu wake Sana tu muhimu ni tusibebwe na "mafuriko" ya stage Fulani. [emoji28] [emoji28] [emoji28] nami niliwahi kuwa muhudhuriaji kule. Yapo -/+ yakujifunza kule.Sana tu mkuu, Nancy Mitikiso ulikuwa unaona watu wanavyojifunza kulana tyako, I used to watch porn once in a while though.
Baada ya ibada ukaenda kutubia dhambi kwa baba mchungaji huh?nilimtumia jmosi usiku na kesho yake nikaenda church
Mkuu, mambo ya pepo ni hypothesis tu, pepo ni wewe na akili yako.Kama sio mtu wa neno la Mungu huwezi jua nilichokisema, ila narudia tu kusema kuwa kutuma picha za utupu ni pepo haijalishi unayetumiana naye ni mkeo au la
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapokuwa "mtu wa Neno la Mungu" yafaa kuwa msaada kwa wengine wenye kiu ya kujifunza habari za Neno Hilo.Kama sio mtu wa neno la Mungu huwezi jua nilichokisema, ila narudia tu kusema kuwa kutuma picha za utupu ni pepo haijalishi unayetumiana naye ni mkeo au la
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kuzara wachungaji wwnilimtumia hadi mchungaji wa kanisani kwetu
Mchungaji ni binadamu kama weweacha kuzara wachungaji ww
Kila kitu kinajengwa kwenye akili/ubongo. Hakuna kitu kama pepo hata siku moja, siku hizi watu wana pepo wa ngono, wizi, usaliti etc. Hili neno limekuja baada ya ulokole kushamiri.Unapokuwa "mtu wa Neno la Mungu" yafaa kuwa msaada kwa wengine wenye kiu ya kujifunza habari za Neno Hilo.
Kwa lugha nyepesi kabisa tusaidie kujua ni kwa vipi ni PEPO watu kutumiana picha za utupu za wenzi wao?

Katika vitu ambavyo cjawahi kuwaza kufanya ni pamoja na hili,.ukiona my PP live wakati wa mgegedo inatosha kama utakuwa na shida ya picha baadae bora ukariri jinsi ulivyo kabisaaa kabla hujasepa,.tena wanaume utawasikia "usitume full picture we tuma tuu nusu..." Weeee weee Wangu wangu tuu hata kama uko nusu kesho niukute fb cjui insta si ntapata sonona hata kama sura haipo....hehehe situmi na siji kutuma ng'ooooo tena nikiona mwanaume king'ang'anizi naku downloadia Google then nakutumia kiroho safii [emoji12] [emoji12] uufurahie...mfyuu.