Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

Sijawahi kuomba kutumiwa wala kutuma picha za utupu naamini mpaka umri huu basi hili limeshanipita,naona ni ewandawazimu kabisa.
Heri yako mkuu, wengine utandawazi umeharibu hata malezi yetu, wazazi walitulea vizuri lakini tumejiharibu balaa.
 
Heri yako mkuu, wengine utandawazi umeharibu hata malezi yetu, wazazi walitulea vizuri lakini tumejiharibu balaa.

Tatizo teknolojia imekuaja na nguvu ambayo baadhi yetu tumeshindwa kuhimili nguvu yake,unatumaje picha za utupu wako kama sio kichaa au unaomba picha ya utupu wa mwenza wako ili ufanyie nini.
 
Nimewahi kutuma mkuu, long time wakati skype inapiga mzigo Ile video call nilikuwa nachat live na kimwana...lol.

Hapa tunaongelea uhalisia MBITIYAZA, sio kufurahishana.


sasa kwann unataka kuegemea upande mmoja wa mke wa mtu kutuma pic ya utupu kwa mchepuko wake!nadhan na ww ulikua unatafta hisia! na yy pia ni mpenz wake anatafuta hisia! acha kufukua makaburi bwana!unamuumiza tu yule mshikaji!
 
Hamna mtu ni bingwa wa maisha. Kama wee hutaki usitume wewe basi. Umeshindwa kwenda kuwaambia wenzako waache kujiuza kona baar na kimboka unakuja kuwaonea wenzako wivu hapa.
Ndio uzuri wa threads, sio lazima kukubaliana na mtu, ila lazima yasemwe, ila kama jamaa hapendi duh shauri yake, wengine muhimu..
 
Morning good people!

Inawezekana umewahi kujiuliza mara moja, kwa nini boyfriend/girlfriend wangu anataka picha zangu za uchi/utupu? Hizo picha huwa anazifanyia kitu gani na zina faida gani katika kuboresha mahusiano yenu?

Je, wanaume tunapata nini tunapoomba na kutumiwa picha za utupu?
»Winners, tunaamini kuwa washindi, kwamba hadi ameamua kuvua kyupi na kutuma utupu wake, basi amezimika haswa kwako.
»Silaha, hizi picha zinaweza kuwa silaha kwa mwanaume wakati mkifarakana, anaweza kukutishia lolote na mwanamke ukatii just coz he's got pics of your nudity.
»Kujiridhisha, wengine hutumia utupu wa wapenzi wao kufanya masturbation.

Trend ya kutuma picha za utupu imeongezeka kwa kasi, hasa baada ya wengi wetu kuweza kumiliki smartphones, watu hutuma picha zao za kifua, tako, punani na watu wanatuma kabisa a shaved p!ssy/d!ck.

Lakini tujue kuwa;
»Kutuma picha za utupu sio salama, hakuna "100% privacy" katika ulimwengu wa kidijitali. Kuna hackers wengi siku hizi teknolojia inapanuka kila siku, kuna kuachana na kulipiana visasi, tuwe makini.

Wanaume tulivyo wajanja, anasema tu "nikimaliza kuangalia nitazifuta", wanawake msidanganywe, huwa hzifutwi.

Tusiwe malimbukeni wa teknolojia, tutumie teknolojia kwa faida.

Je, umewahi kutuma/kutumiwa picha za utupu? Unajisikiaje leo ukikumbuka zile picha zako ulizomtumia ex gf/bf? Naamini katika hili wengi tu wahanga
UMEPATIA KOOOOTE UMEKUJA HARIBU KWENYE USHAURI ACHA HIZO MANIAJE AISEE..AS LONG AS ANAVYOKUTUMIA MWAMBIE ASIWEKE SURA THE REST ACHA TU ZIPITE...MI NDO UGONJWA WANGU
 
Nimeshajibu.... Kuna kipya sasa... Kwani ni mwanaume gani huyo ambaye hajawahi kupiga nyeto... Wewe na elly hamjawahi kupiga nyeto ehhh
[emoji3][emoji3][emoji106][emoji106]
 
Nimewahi kutuma mkuu, long time wakati skype inapiga mzigo Ile video call nilikuwa nachat live na kimwana...lol.

Hapa tunaongelea uhalisia MBITIYAZA, sio kufurahishana.


sasa kwann unataka kuegemea upande mmoja wa mke wa mtu kutuma pic ya utupu kwa mchepuko wake!nadhan na ww ulikua unatafta hisia! na yy pia ni mpenz wake anatafuta hisia! acha kufukua makaburi bwana!unamuumiza tu yule mshikaji!
 
Back
Top Bottom