Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

Bonny, sijasema kuwa I'm all innocent katika hili, tunakumbushana tu mkuu. Utajisikiaje mwanao wa kike picha zake zimezagaa mitandaoni akionekana sura na utupu wake?
Eli79 Uko sahih kabisa mkuu unachokisema especially kwa dunia ya sasa ya mitanadon ila ninachoamin katika huu uzi kila mmoja wetu atasema hajawah kutuma au kutumiwa na ndio maana nkasema may be sie member wa JF hatuko kwenye hii Dunia ya sasa hvi
Back to the question sio binti yangu tu mie mwenyewe nikija kuona picha ya mtu ninae fahamiana nae ntajiskia aibu ila tusikwepe tu ukwel kwamba we dont do that while we do, la msing kuwa muangalifu na ikiwezekana acha kabisa maana whatever stay in internent stays forever.
 
aaaahhhhaa! nisome' fuleshi mkuu' nimetuma sanaaa! ila ndo nasema date na mtu anaejitambua! unaanzaje kuvujisha sasa pic zangu kisa nimetibuana na ww!si wehu huu!

so na ww tuseme hujawah tuma wala kutumiwa!funguka tu mkuu hutafutwa kule magomenui/mwenge
Hiyo sentensi ya mwisho sijaelewa mkuu. Kuleta mada haimaanishi sikufanya, ila ukitambua kosa ni vyema kutoa tahadhari.

Kwenye hili hakuna 'anayejitambua', lakini ulimbukeni tu unatusumbua coz it's not right kutuma punani yako kwa mtu, it's not right na lazima tuseme tu. Unaweza kusema anajitambua, kumbe anawaonyesha marafiki zake picha za utupu wako, men can be weird at times mkuu
 
Tupo tu mitaani wote mzee, sasa unadate na warembo wa class 7 wengine beki tatu smart phones za kutuma picha watatoa wapi

Nidanganye natumiwa!
Ha aha ha ha mzee beki tatu ndio hatar sana unajua smart phone imekuwa transformed into smart porn?
 
Eli79 Uko sahih kabisa mkuu unachokisema especially kwa dunia ya sasa ya mitanadon ila ninachoamin katika huu uzi kila mmoja wetu atasema hajawah kutuma au kutumiwa na ndio maana nkasema may be sie member wa JF hatuko kwenye hii Dunia ya sasa hvi
Back to the question sio binti yangu tu hata mie mwenyewe nikija kuona picha ya mtu ninae fahamiana nae ntajiskia aibu ila tusikkwepe ukwel kwamba we dont do that while we do, la msing kuwa muangalifu na ikiwezekana acha kabisa maana whatever stay in internent stays forever.
...and that's my point mkuu, whenever you press "send" button, haitarudi kwako na huna control ya nani aangalie, even your parents may see it.
 
Sio tabia nzuri hata kidogo kumtumia mtu yeyote picha za utupu hata picha nyingi tunazoziona mitandaoni zimesambaa bila idhini ya wahusika
 
Morning good people!

Inawezekana umewahi kujiuliza mara moja, kwa nini boyfriend/girlfriend wangu anataka picha zangu za uchi/utupu? Hizo picha huwa anazifanyia kitu gani na zina faida gani katika kuboresha mahusiano yenu?

Je, wanaume tunapata nini tunapoomba na kutumiwa picha za utupu?
»Winners, tunaamini kuwa washindi, kwamba hadi ameamua kuvua kyupi na kutuma utupu wake, basi amezimika haswa kwako.
»Silaha, hizi picha zinaweza kuwa silaha kwa mwanaume wakati mkifarakana, anaweza kukutishia lolote na mwanamke ukatii just coz he's got pics of your nudity.
»Kujiridhisha, wengine hutumia utupu wa wapenzi wao kufanya masturbation.

Trend ya kutuma picha za utupu imeongezeka kwa kasi, hasa baada ya wengi wetu kuweza kumiliki smartphones, watu hutuma picha zao za kifua, tako, punani na watu wanatuma kabisa a shaved p!ssy/d!ck.

Lakini tujue kuwa;
»Kutuma picha za utupu sio salama, hakuna "100% privacy" katika ulimwengu wa kidijitali. Kuna hackers wengi siku hizi teknolojia inapanuka kila siku, kuna kuachana na kulipiana visasi, tuwe makini.

Wanaume tulivyo wajanja, anasema tu "nikimaliza kuangalia nitazifuta", wanawake msidanganywe, huwa hzifutwi.

Tusiwe malimbukeni wa teknolojia, tutumie teknolojia kwa faida.

Je, umewahi kutuma/kutumiwa picha za utupu? Unajisikiaje leo ukikumbuka zile picha zako ulizomtumia ex gf/bf? Naamini katika hili wengi tu wahanga
Ungefafanua vizuri hapa, distance love hii ni sehemu moja kati ya nyingi ya kupeana mihemko........ Sio kila jambo unavyoliona ndivyo lilivyo... Hast generalization fallacy....
 
picha za utupu wakiomba tunagoogle zinazofanana na rangi zetu tunatuma wala si kwamba ni ya kwetu photoshop nyingi tu.. sababu mtu akitaka kukuchafua anaweza chukua sura yako na miuchi ya watu wengine na kuisambaza tu na watu wakaamini
 
Hiyo sentensi ya mwisho sijaelewa mkuu. Kuleta mada haimaanishi sikufanya, ila ukitambua kosa ni vyema kutoa tahadhari.

Kwenye hili hakuna 'anayejitambua', lakini ulimbukeni tu unatusumbua coz it's not right kutuma punani yako kwa mtu, it's not right na lazima tuseme tu. Unaweza kusema anajitambua, kumbe anawaonyesha marafiki zake picha za utupu wako, men can be weird at times mkuu


ni sawa usemacho!bas atakuwa ana shida sehem!nilikutania unaogopa kufunguka unahisi utafutwa church??mie nishakuwa mhenga sasa!ila nilituma sana tu huko nyuma!
 
Hahaha, nimependa hiyo 'watakatifu wa jf'. Umesema kweli ngoda, ulimbukeni wa smartphone na teknolojia ulitubeba wengi, hadi tukaja kujitambua mda ushapita sana.

Lakini je, mke wa mtu kumtumia mchepuko utupu wake ni sawa kweli?
Kwa akili ya kawaida tutasema si sawa lakini kwa kuwa kila mtu ana u"kichaa" wake kiasili sasa ni vigumu watu wote tuka behave sawa.

Watu wazima wenye aliki zao "timamu" walio amua kufanya mambo yao ya faragha hawana sababu kuingiliwa.


Muhimu ni kuhimizana UMAKINI kwa yeyote afanyaye hivyo. Wengine tuwapo mbali na wenzi wetu hizi technology za kidigitali zimetusaidia Sana kupunguza/kuepuka michepuko. [emoji28]


Pongezi kwa team ya Whatsap kuleta tuvideo call, maisha yamekuwa burudani zaidi.[emoji4] [emoji4]
 
nilimtumia hadi mchungaji wa kanisani kwetu
Oooops, hadi mchungaji? Na ukivyo bonge sasa...mchungaji must have had a lot of fun looking at that "thing"[emoji12] [emoji12]
 
Sio tabia nzuri hata kidogo kumtumia mtu yeyote picha za utupu hata picha nyingi tunazoziona mitandaoni zimesambaa bila idhini ya wahusika
Ukishabofya kitufe cha 'send', huwezi kufanya lolote tena.
 
Basi hapo tupo tofauti, wewe ukiwa mbali huwezi kujenga kibanda unamtunzia bibie.
Faithful is what counts alot than other shits.... Kibanda hapana aisehhhh why would i cheat on my girl/wife while she can send me dirt pics and ignites mihemko and build strong relationship..... Mapenzi ni namna unavyoyaweka tu...
 
Ha aha ha ha mzee beki tatu ndio hatar sana unajua smart phone imekuwa transformed into smart porn?
Haha, hivi mkeo mfano unaanzaje? Maana Nimejaribu kutengeneza picha kichwani haijaja...

Si ndiyo atasema baba klareee unataka kutambikia uchi wangu ama! Miaka yote tunalala wote unaniona leo unaniomba nikutumie uchi wangu [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom