MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,085
Nimewahi kutuma mkuu, long time wakati skype inapiga mzigo Ile video call nilikuwa nachat live na kimwana...lol.
Hapa tunaongelea uhalisia MBITIYAZA, sio kufurahishana.
sasa kwann unataka kuegemea upande mmoja wa mke wa mtu kutuma pic ya utupu kwa mchepuko wake!nadhan na ww ulikua unatafta hisia! na yy pia ni mpenz wake anatafuta hisia! acha kufukua makaburi bwana!unamuumiza tu yule mshikaji!