Spirit
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 457
- 383
Yani ni aibu sehemu zako za utupu kutapakaa mitandaoni kama biashara ya samaki wakavuUkishabofya kitufe cha 'send', huwezi kufanya lolote tena.
Yani ni aibu sehemu zako za utupu kutapakaa mitandaoni kama biashara ya samaki wakavuUkishabofya kitufe cha 'send', huwezi kufanya lolote tena.
miss chagga watu qanatuma sana tu, tena sana. Ni wachache wenye hizo fikra kuwa kuna negative impact baadae, trust me.picha za utupu wakiomba tunagoogle zinazofanana na rangi zetu tunatuma wala si kwamba ni ya kwetu photoshop nyingi tu.. sababu mtu akitaka kukuchafua anaweza chukua sura yako na miuchi ya watu wengine na kuisambaza tu na watu wakaamini
Labda niwe mgeni kabisa sijawahi uona "wako/wamuhusika" lakini nikishauona najua hii ni OG na hii ni magumashi. [emoji23] [emoji23]picha za utupu wakiomba tunagoogle zinazofanana na rangi zetu tunatuma wala si kwamba ni ya kwetu photoshop nyingi tu.. sababu mtu akitaka kukuchafua anaweza chukua sura yako na miuchi ya watu wengine na kuisambaza tu na watu wakaamini
I see amigo... GraciousFaithful is what counts alot than other shits.... Kibanda hapana aisehhhh why would i cheat on my girl/wife while she can send me dirt pics and ignites mihemko and build strong relationship..... Mapenzi ni namna unavyoyaweka tu...
Hahaha, nimependa hiyo 'watakatifu wa jf'. Umesema kweli ngoda, ulimbukeni wa smartphone na teknolojia ulitubeba wengi, hadi tukaja kujitambua mda ushapita sana.
Lakini je, mke wa mtu kumtumia mchepuko utupu wake ni sawa kweli?
ni sawa usemacho!bas atakuwa ana shida sehem!nilikutania unaogopa kufunguka unahisi utafutwa church??mie nishakuwa mhenga sasa!ila nilituma sana tu huko nyuma!
Haha, kwa hiyo saivi unakula ubwabwa live? Mkuu Ngoda95 we hatari kumbe?Kwa akili ya kawaida tutasema si sawa lakini kwa kuwa kila mtu ana u"kichaa" wake kiasili sasa ni vigumu watu wote tuka behave sawa.
Watu wazima wenye aliki zao "timamu" walio amua kufanya mambo yao ya faragha hawana sababu kuingiliwa.
Muhimu ni kuhimizana UMAKINI kwa yeyote afanyaye hivyo. Wengine tuwapo mbali na wenzi wetu hizi technology za kidigitali zimetusaidia Sana kupunguza/kuepuka michepuko. [emoji28]
Pongezi kwa team ya Whatsap kuleta tuvideo call, maisha yamekuwa burudani zaidi.[emoji4] [emoji4]
mara nyingi wengi huomba kabla ya kufunuanaLabda niwe mgeni kabisa sijawahi uona "wako/wamuhusika" lakini nikishauona najua hii ni OG na hii ni magumashi. [emoji23] [emoji23]
we mtumie nyapu yake ha hahahahaJe kama ni mume wako amekumiss yupo mbali na anataka kuona??
What do you use those pics for? Do you masturbate or what?Faithful is what counts alot than other shits.... Kibanda hapana aisehhhh why would i cheat on my girl/wife while she can send me dirt pics and ignites mihemko and build strong relationship..... Mapenzi ni namna unavyoyaweka tu...
kila jambo lina side mbili na mimi naamini kuna ubaya pia.. ila kama ni lazima kutuma ficha msura wakomiss chagga watu qanatuma sana tu, tena sana. Ni wachache wenye hizo fikra kuwa kuna negative impact baadae, trust me.
kila jambo lina side mbili na mimi naamini kuna ubaya pia.. ila kama ni lazima kutuma ficha msura wakomiss chagga watu qanatuma sana tu, tena sana. Ni wachache wenye hizo fikra kuwa kuna negative impact baadae, trust me.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we speak the same language now, distance love ina njia nyingi kufanya iweze to exist and overcome distance obstacleI see amigo... Gracious
That's paradox to me too!What do you use those pics for? Do you masturbate or what?
Nimewahi kutuma mkuu, long time wakati skype inapiga mzigo Ile video call nilikuwa nachat live na kimwana...lol.sasa hapa Eli79 unataka kumuumiza yulee mtoa post! na hii ni case nyingine kias! ...wewe hujawa mtumia mchepuko wako walau pic ya kifua tu!toeni boriti kwanza jaman kwnu
Nakubaliana nawekila jambo lina side mbili na mimi naamini kuna ubaya pia.. ila kama ni lazima kutuma ficha msura wako