Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

Kutuma picha za utupu/uchi kwa mpenzi

Teh, mkuu nataka tu kufahamu. Wanasema, "90% ya wanaume wamewahi kufanya masturbation at least once katika maisha yao"

Au umewahi kumuadhiri aliyekuwa mpenzi wako kwa kusambaza utupu wake?
Mastrebate wala kusambaza picha hapana kiongozi
 
siku zote date na mtu anaejitambua!wewe unadate namtu km@Jordi pola unategemea uhai hapo?? tuache unafki!zote zote zinavutia tu si za kike au kiume! na nyie watumaji msijipige full!ohooo piga maeneo husika ya ajali!
mie nishakuwa mhenga! acha niwe mshauri tu!
MBITIYAZA aka....wewe enzi za college hujawahi kufanya hivyo kwa hubby?[emoji12]
 
Uzuri wa "Watakatifu" wa Jf wengi wetu tutasema hatufanyi hivyo kisha kila mmoja atalaani na kukemea tabia hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23]

Binafsi nimewahi kutuma na kutumiwa Sana tu zamani za ushamba wangu wa digital na ulimwengu wa smart phone.


Hata sasa nikitumiwa "nafuta" instantly nimalizapo kuangalia. Najitahidi kulinda privacy ya aliyetuma.


humu kuna watakatifu sana jaman! utaona watakavyoanza kukoroma!pyee
 
Kuna denti alishawahi kunitumia though sikuomba ingawaje bado nazikumbuka hasa ule msitu wa amazon ulivyomea sijui mwanaizaya yule aliweka kalikiti
 
Katika vitu ambavyo cjawahi kuwaza kufanya ni pamoja na hili,.ukiona my PP live wakati wa mgegedo inatosha kama utakuwa na shida ya picha baadae bora ukariri jinsi ulivyo kabisaaa kabla hujasepa,.tena wanaume utawasikia "usitume full picture we tuma tuu nusu..." Weeee weee Wangu wangu tuu hata kama uko nusu kesho niukute fb cjui insta si ntapata sonona hata kama sura haipo....hehehe situmi na siji kutuma ng'ooooo tena nikiona mwanaume king'ang'anizi naku downloadia Google then nakutumia kiroho safii [emoji12] [emoji12] uufurahie...mfyuu.
Haya umesikika......
 
MBITIYAZA aka....wewe enzi za college hujawahi kufanya hivyo kwa hubby?[emoji12]


aaaahhhhaa! nisome' fuleshi mkuu' nimetuma sanaaa! ila ndo nasema date na mtu anaejitambua! unaanzaje kuvujisha sasa pic zangu kisa nimetibuana na ww!si wehu huu!

so na ww tuseme hujawah tuma wala kutumiwa!funguka tu mkuu hutafutwa kule magomenui/mwenge
 
Mkuu Eli79 Asante kwa maada janga maanake kwa sasa swala hili ni janga kwa watu walio wengi

Kwa maoni yangu kwanza kuhusiana na sababu naweza sema hakuna sababu ya kujustify swala la kutumiana picha za utupi
1.kuna njia nyingi sana za kujua ikiwa mpenzi wako amekufa ameoza kwako na kujiona mshindi kuomba picha ya utupu ni kumdhaliliha mpenzi wako,unajua hapo katikati kuna nini na nini mpaka ikakufikie
2.Yeyote anayetumia picha kumblck mail mpenzi wake hana mapenzi ya dhati na sio mtu wa kumwamini kabisa coz anaweza akafanya a worst thing that that
3.No need of pikishaz muimagine mpenzi wako kwa kichwa inatosha basi

Mwisho asante kwa angalizo na I hope watu watastuka kidogo na kasi ya kutumiana hizo picha itapungua
Blue G, long time sana umepotea. Thanx for dropping by. Ni kweli tatizo ni kubwa na linazidi kushamiri, we need to change for better. Sema ujana maji ya moto, tunakuja kushtuka kuwa it was wrong mda umeshapita na madhara yameonekana.
 
Nilikuwa naona watu wanatumiana picha za uchi nashangaa saana tena wengine hardpics kabla ya hizi simu kuenea.

Kwangu tukikutana nafanya yangu nakuachia mwili wako ukajijue nao.
Acha kujisafisha.....mbona dada naniliii analalamika unamlazimisha sana akutumie....
 
Hivi JF members ni wa kutoka Mars enhee?
Bonny, sijasema kuwa I'm all innocent katika hili, tunakumbushana tu mkuu. Utajisikiaje mwanao wa kike picha zake zimezagaa mitandaoni akionekana sura na utupu wake?
 
Kuna denti alishawahi kunitumia though sikuomba ingawaje bado nazikumbuka hasa ule msitu wa amazon ulivyomea sijui mwanaizaya yule aliweka kalikiti
Hahaha, msitu wa amazon sio.
 
Just Passing [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]



Mahondaw wa Smart911
Naomba niwe makamu wake incase yuko nje ya nchi.
 
46a28e850e85c2198ccc97c0a4cb5ac9.jpg
 
Blue G, long time sana umepotea. Thanx for dropping by. Ni kweli tatizo ni kubwa na linazidi kushamiri, we need to change for better. Sema ujana maji ya moto, tunakuja kushtuka kuwa it was wrong mda umeshapita na madhara yameonekana.
Nipo mkuu Eli79 ni vijimambo tu vya hapa na ple vinatupoteza

Nilifurahi sana nilipouona uzi wako nikasema siwezi kupita hivi hivi lazima nitie neon

yeah suree mkuu tulio wengi tunafanya vitu kwa kuangalia muda huo tunavifanya hatuna muda wa kukaa na kuwaza what next na pia tukiwa vijana huwa tunahisi mda umeganda hausongi kuja kushtuka pamekucha na huwezi kurudisha nyuma wakati and that's too bad.
 
Back
Top Bottom