Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

Ac
Acha unyumbu wewe, hii ni ramli chonganishi, Makonda siyo mjinga kiasi hicho
Halafu hiki kijamaa Chinembe hakina kaz. Kaz yake mitandaoni. Halafu kinaanzisha thread, nyepesi za kitoto tu. Hii ni thread ya tano kuhusu makonda. Yaan ni nyumbu kweli kweli. Upstairs zero.
 
Kazi iliyofanywa na Royal Tour inakwenda kuharishiwa na huyu nyamitako,ni uamuzi wa ovyo kabisa kumpeleka Arusha huyu jambazi
 
Halafu hiki kijamaa Chinembe hakina kaz. Kaz yake mitandaoni. Halafu kinaanzisha thread, nyepesi za kitoto tu. Hii ni thread ya tano kuhusu makonda. Yaan ni nyumbu kweli kweli. Upstairs zero.
Chinembe ni kada mtiifu wa CCM,ndiyo mjue kuwa huko CCM kuna ufa mkubwa sana
 
Tushapoteza Watalii tayari , Kwaheri Royo Tuwa !
Hilo lilijulikana mapema na liko Kimkakati. Kuna sehemu kule ngambo zimejengwa hoteli nyingi za kitalii zimekosa watu. Kufa kufaana,ikifa au kuvurugika Arusha imefikiriwa watalii watavukia ngambo hiyo. Hata Wanyama walishatangulizwa huko.
 
Wewe Magu bwanake mkubwa hayupo! Huyo ni mlenda tu! kwa Rchuga stay tuned!

Rchuga ndio nini sasa😁 kama dar ameweza ndio jiji la kwanza kwa ukubwa ikifuatiwa na Mwanza, sembuse ki arusha kwel! Hao wala unga na wazurulaji wasio na makazi watamfanya nini!
 
Rchuga ndio nini sasa😁 kama dar ameweza ndio jiji la kwanza kwa ukubwa ikifuatiwa na Mwanza, sembuse ki arusha kwel! Hao wala unga na wazurulaji wasio na makazi watamfanya nini!
Uzuri hakuna "wala mdondo" (aka mabasha) kama dar! Itambidi ampelekee GSM kila weekend! Ushoga wake hauna bei huku. No kweli eti anataka kumuua mdogo wa bwanake? kwani vp?
 
Back
Top Bottom