Kutoka Dodoma!

[/B]
You're such a dumb with childish questions, no wonder you call yourself hollo, you must have a HOLLOW BRAIN.
Aboh! Hollow Brain?how does it look like?kwi kwi a question is a question!u're an idiot kabisa!
 
Field Marshall ES, bora ukapumzike ili utuletee habari nyingine kesho, sasa hivi huo ni kama mgodi wa madini, kalale mkuu. Usiku wema

Ahsante mkuu wangu kwa concern, maana ni kweli niko hoi sana, lakini kabla sijaenda kulala, unajua nimefukua data ndogo tu sasa hivi,

kuwa kumbe Lowassa na Mwakyembe, walisoma shule moja yaani Mirambo, Lowassa akiwa Form Six, na Mwakyembe form Five, wote walikuwa maa-artists, lakini Mwakyembe alikuwa ni the best artist kwa shule nzima, walipomaliza Lowassa alienda kusomea Arts, Mwakyembe alienda kusomea Journalism, baadaye ndio Mwakyembe aka-change the course na kusoma Sheria, na Lowassa aka-change na kwenda kusoma Administration,

Wabunge walipokutana kutafuta nani awe mwenyekiti wa ile kamati, kwa kauli moja wakasema yule yule aliyekuwa bingwa wa arts Mirambo, na anayemjua vizuri sana Lowassa, yaani Mbunge Shujaa Mwakyembe, tunaendelea kumuombea kuwa awe salama na kutokutwa na mabaya, kwa sababu we need him now more than anytime before kwa taifa letu,

Mungu Amlinde na Hizo Hewa Chafu, ili aweze kurudi bungeni ili kutuokoa wananchi na hawa mafisadi, kwa nguvu ya Mungu mafisadi wote watalegea na Mwakyembe atarudi bungeni na kuwatwanga zaidi na mashetani yao!

Sasa naenda kulala, kesho wakuu!
 
El na Chenge mavi ya ualo na blanket la mgonjwa wa kuhalisha wakati wa masika.
 
Huyo hawezi... tumchague muafrika wa kike! kwi kwi kwi

slow down slow down...you are in the right direction. Mama uchawi hawezi! -achaguliwe na nani na kwa nini-hayupo tayari kufatwa fatwa-anafanya kipenda roho. Watch ur step mchonganishi/mnafiki nambari wani wewe!
 
Ushirikina walichanganya Bunge

.
Source Tanzania Daima!
 
Of course, naomba kuwasisitiza wana JF kufikiria mbali zaidi. Hakuna uchawi, kuna kitu inatumiwa na inaua taratibu na mwisho mlengwa anakuwa ndio hivyo tena.

...Beware!

Imeshatajwa huko juu, sijui waungwana wanadoubt nini tena
 
mkuu asante sana kwa news

la kuvunda halina ubani. mwaka huu mambo yote lazima yawe namba nane kama ilivyo namba ya mwaka huu

Mkuu,


NAOMBA URUDI HAPA JAMVINI UOMBE MSAMAHA MEMBERS WOTE NA U-WITHDRAW STATEMENT YAKO YA KUSEMA KWAMBA ZITTO NDIYE ALIYENASWA NA CAMERA NDANI YA UKUMBI WA BUNGE.

Mkuu,Kwanini uliamua kumzushia huyu mkuu pasipo na sababu za msingi au kwa sababu zako binafsi?

Mbaya zaidi baadhi ya members hapa tulikuonya na bado ukasizitiza kwamba ni ZITTO.

Mkuu wangu,Kwa hizo tuhuma zako za moja kwa moja ulizomshushia Zitto ndizo zinazoweza kuwapa sababu Jeshi la polisi na maofisa usalama kama walivyofanya siku za Nyuma kutubandika majina ya ajabu ajabu,mara Magaidi,tunachafua majina ya watu etc.

Mkuu tunomba uje hapa kuliweka hili Sawa ili kuendelea kulinda heshima ya kijiwe hiki na members wa humu ndani.
 
Hivi wakuuu, Mheshimiwa akiulizwa sasa pale ulikuwa unafanya nini atajibu nini jamani? Mambo mengine ya aibu sana. Yaani wameona yale wanayoyafanya mbali huko hayatoshi sasa kaamua kuja nayo Live sio tena nje ya muda wa bunge. Da Kazi kweli kweli. Ila ninahisi labda ni mikakati waliyoifanya London wiki kadhaa zilizopita.
 
Bunge la wabunge wanaoogopa ushirikina? Wao wenyewe kabla ya kuingia bungeni, wengi wao walitembea uchi makaburini.

Halafu tunashangaa nchi yetu iko nyuma, kama tunaongozwa na hawa wajinga, unafikiri tutegemee nini?
 

ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.

wapi nilisema aliefumwa na camera ni zitto hebu leta ushahidi huo na ukishindwa fanya uniombe radhi kwa kunizulia.

kaa usome vizuri na udadavue nini kiekusudiwa kabla ya kukurupuka angalia na utagundua umakini mkubwauliotumika ktk maandishi
 

Nakubaliana na wewe Mkuu,

Haikuwahi kuniingia akilini eti askofu ataenda kumpokea fisadi eti ni shujaa. Ipo siku waumini tutaamka na kumwambia atuombe msamaha. Mambo taratibu. Kwa sasa tumeanza kwanza na hawa mafisadi wakubwa then tutakuja kwao. Kwa sasa natafuta Data za Maaskofu wote ambao hawajawahi kukemea ufisadi basi na wao ni mafisadi
 

Inaelekea wameamua kuokoka na kumrudia bwana, wasaidie mchungaji,musiwakatae kondoo walioamua kweli kumgeukia bwana lakini angalia wasikufisadi na wewe
 



Mkuu,soma hiyo thread unayojifanya umeisahau.Kwa mara nyingine tena unaendelea kuwadhalilisha members hapa kwa kuwafanya ni watoto na hawaelewi au hawakumbuki ulichoandika.

Mkuu,usiwe kama huyo Mbunge aliyeenda kufanya vimbwanga huku akijua kuna security cameras.Na wewe hapa unanidai nilete ushahidi huku ukijua nikiitaka hiyo thread at any time nitaileta kwani haijaandikwa kwa Chaki au mkaa ndio ifutwe kwa maji.


Mkuu,tafadhali fanya uungwana tu kabla sijaamua kukupa heshima ya "MKURUPUKAJI NAMBARI WANI JF"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…