FMES,
..hilo tukio lilikuwa recorded anywhere? manaake camera huwa zinapeleka images kwenye studio. kule kwenye studio ndipo RECORDING inapofanyika. sasa kuna yeyote aliye-press "record."
Mkuu naelekea kufikiri kuwa Ku-press "PLAY" ndo-shuguli nzito! je hizo CCTV footage/Video Rec. hazijawa 'Doctored' kweli???
Alafu naomba kuuliza: ukiachilia spika wa Bunge na wasaidizi wake,hivi wabunge wana utaratibu maalumu wa ukaaji ndani ya bunge?? je Dk.Mwakyembe anakiti chake maalum??
Msaada kwenye tuta jamani.