Kutoka Dodoma!

Kutoka Dodoma!

Hakuna shida mkuu...Mmekipata mlichokitaka...Mimi siongei tena hapa nitakuwa mtizamaji tu!
Ila nawasha moto kule Facebook mbele ya bosi wenu mliyeniban kwa kumwita jina ambalo linaweza kufutika kama akiproove hivyo!
Jf...Kweli siamini!

Mkuu kama wewe ndiye Mushi "aliyefungiwa", lakini bado yupo basi wasalimie sana huko mkuu!
 
Mimi na wewe nani aliyekuwepo hapa mwanzo? Sasa leo nitishike na wewe?

Naam, ulinitangulia. Na ni Premium Member. Na ni Senior Expert Member! Kwa hiyo tukuogope?
 
Sikuweza kujizuia! Shida ya inferior!!!!!! Your ignorance, as always, sir,shows!

Kwi! kwi!kwi!kwi!kwi! mkuu sasa uinanichekesha sana naomba niende kupumzika maana kesho kuna kishindo kinakuja,

Halafu the dataz ni kwamba hivi karibuni kuna hela za ufisadi za Mramba, zimezuiwa na serikali, na hasa zilizokutwa kwenye jina la mjukuuu wake mwenye miaka minne, akiwa na Billioni nne benki bongo, sasa nimeipata sasa hivi kuwa zimeshikwa naomba niingie kwenye post kabla ya kuzifuatilia hizo ili nikizipata nizimwage hapa JF,

Ahsante na Kwa heri mkuu!
 
Mkuu kama wewe ndiye Mushi "aliyefungiwa", lakini bado yupo basi wasalimie sana huko mkuu!

FMES mimi sitaki tena kubishana na watu wanaoweza kufanya ukafungiwa hapa JF...Sasa nitakusikiliza tu mkuu wetu.
Ila bosi wako ninaye kule facebook atakipata huko!
 
Kwi! kwi!kwi!kwi!kwi! mkuu sasa uinanichekesha sana naomba niende kupumzika maana kesho kuna kishindo kinakuja,

Halafu the dataz ni kwamba hivi karibuni kuna hela za ufisadi za Mramba, zimezuiwa na serikali, na hasa zilizokutwa kwenye jina la mjukuuu wake mwenye miaka minne, akiwa na Billioni nne benki bongo, sasa nimeipata sasa hivi kuwa zimeshikwa naomba niingie kwenye post kabla ya kuzifuatilia hizo ili nikizipata nizimwage hapa JF,

Ahsante na Kwa heri mkuu!

Mkuu hapa naona sasa tunaelekea kwenye EPA yenyewe, huyu "mtulivu" ni mmoja kati ya masterminds wa dili nzima, nadhani hiyo ni sehemu tu ya "vijisenti" vyake. Naifualitia sana tuhabarishe zaidi utakapopata habari zaidi. Naona sasa wanafika kwenye mzizi mwingine wa EPA, misamaha feki ya kodi, hela za madini, na mengine mengi!!
 
Mkuu FEMS Nimeshaanzisha thread ya kuomba msamaha na ninafikiri mtanisamehe na kunifungulia.
Vita nishaamishia kule facebook na nina ahidi kutomwita Kikwete majina mengine ya kiufisadi.
 
Kwi! kwi!kwi!kwi!kwi! mkuu sasa uinanichekesha sana naomba niende kupumzika maana kesho kuna kishindo kinakuja,

Halafu the dataz ni kwamba hivi karibuni kuna hela za ufisadi za Mramba, zimezuiwa na serikali, na hasa zilizokutwa kwenye jina la mjukuuu wake mwenye miaka minne, akiwa na Billioni nne benki bongo, sasa nimeipata sasa hivi kuwa zimeshikwa naomba niingie kwenye post kabla ya kuzifuatilia hizo ili nikizipata nizimwage hapa JF,

Ahsante na Kwa heri mkuu!

Mkuu heshima yako,

Huyu Mramba sijui anaogopwa maanke ametulia sana wakati wengine hata mume mwenza anapewa mawe lakini yeye hata kokoto harushiwi.Huyu kwanza hata Ubunge aache,watu kule Rombo wametulia mno badala ya kuandamna hadi awaachie jimbo lao.Amewadhalilisha mno
 
Mkuu hapa naona sasa tunaelekea kwenye EPA yenyewe, huyu "mtulivu" ni mmoja kati ya masterminds wa dili nzima, nadhani hiyo ni sehemu tu ya "vijisenti" vyake. Naifualitia sana tuhabarishe zaidi utakapopata habari zaidi. Naona sasa wanafika kwenye mzizi mwingine wa EPA, misamaha feki ya kodi, hela za madini, na mengine mengi!!

Bado tunaifutailia haijakaa sawa, lakini ipo hii nimeipata jana tu anyways tukiipata yote kwa karibu itawekwa tu hapa!
 
Huyu Mramba sijui anaogopwa maanke ametulia sana wakati wengine hata mume mwenza anapewa mawe lakini yeye hata kokoto harushiwi.Huyu kwanza hata Ubunge aache,watu kule Rombo wametulia mno badala ya kuandamna hadi awaachie jimbo lao.Amewadhalilisha mno

Huyu mkulu ninaamini kuwa kuna mkono unamkingia kifua, maana jina lake limo kenye deals niynig sana za kifisadi, the matter of fact nasikia yeye inapokuja kwenye deals za ulaji alikuwa aliwafuata maofisa wa serikali majumbani mwao saa za usiku ili wasaini mikataba ya ulaji, badala ya kuwausbiri kesho yake ofisini!

Halafu nasikia kuwa yuko allover the mikataba ni mmoj a wa wale viongozi wetu ambao walikuwa hawajali kuwa kuna siku itakuja fahamika au kupigiwa kelele na wananchi, ndio sasa ni mmoja wa wale wanaowalipa wakulu serikalini ili wazibe zibe, lakini tutayajua tu karibuni, lakini hiii ya mjukuu wake ikiwa ni kweli basi tutakuja ona mengi sana!

Unajua aliyemrudisha kwenye cabinet ya muungwana alikuwa Peter Kisumo, aliyetutangazia kuwa muungwana atakuwa rais safi sana hivi aliishia wapi yule mzee?
 
Mama Kilango awasha moto kuwa kama pesa za EPA hazitarejeshwa basi ni bora afe kuliko kuendelea kukaa kimya . Awataka wananchi kukaa kimya kwani wabunge watazishughulikia hadi zirudi. Asema kuna kuna bilioni 216 ambazo zinashikiliwa na mafisadi tangu 1992, ziko mikononi mwa watu wachache ,lazima zirudishwe hizo fedha .

April serikali iliwapa hawa watu muda wa miezi mitatu ila hadi leo hazijarejeshwa ,na kama wabunge wakikaa kimya na kutokutetea wananchi wake ni kuwa mbunge huyo hawapendi wananchi wake na kama hazitarudi basi bunge patakuwa hapatoshi.

Hiii ni ya leo hiii bungeni, mkuu FDR umeyaona haya, nilkuambia kuwa kuna mtoto bado unakuja, hakuna kulala,

Mkuu Bubu ulisema hujaiskia kitu bungeni hebu tafuta habari za leo kutoka huko!
 
FDR.Jr Junior Member Join Date: Tue Jun 2008

Mama Malecela amepigwa bit , ngoja tuone kama atarudia aloyatamka huko nyuma kwa ujasiri wa awali.

Mkuu wangu soma hapo juu yaliyojiri bungeni leo!
 
Wakuu heshima mbele, leo kutoka Dodoma the dataz zinasema kuwa:-

1. Waziri Mkuu atatoa rasmi uamuzi wake, kuhusiana na ripoti ya Mwakyembe katika kufuatia mapendekezo yote yaliyotolewa ya kamati hiyo ya bunge, kwake kama mkuu wa shughuli za serikali hasa katika bunge, atautoa uamuzi huo rasmi kwenye kikao cha bunge, mara tu baada ya bajeti kumalizika, katika tarehe maalum itakayotajwa karibuni.

2. Imefahamika rasmi kuwa makamu wa sasa naye amejiunga rasmi na lile kundi hatari la Serukamba, na kumbe ndio moja ya chanzo cha maneno ya mkewe bungeni hivi karibuni, na pia ndio chanzo cha maneno yake mwenyewe hivi karibuni kuhusu wagombea binafsi,

hizi ni habari za kusikitisha sana, ingawa la kugombea binafsi ni safi lakini la kujiunga na kundi ni huzuni kubwa sana!

3. Na more dataz ni kwamba mke wa makamu baada ya kujibiwa maneno mazito sana na umma kuhusiana na kauli yake bungeni hivi karibuni, leo usiku amewaarifu wakuu wa CCM kuwa hatagombea tena uenyekiti wa UWT, nafasi ambayo sasa iko kwenye mchuano mkubwa sana wa wengine kutaka kumrithi na ambayo amekuwa akipigania sana.

Ahsante Wakuu Tutaendelea Kuhabarishana Dodoma Bado Moto Unawaka!
 
Hii wiki inayokuja naona kuna mengi sana yatakuja. So far kuna miziki miwili inakaribia kumalizika compacting kule studio na inaweza kuangushwa hapa JF muda si mrefu.

Independence day itabidi niitumie kununua pop corn zaidi toka Iowa kwani yote yanayokuja hapa JF ni makubwa.
 
Mkuu kidogo nimeachwa unaposema makamu- Ni makamu yupi huyu , ni mamaku mwenyekiti ay makamu wa rais. Lakini nasmell kuwa mafisadi wanashinda, naona upande wa haki uko kwenye verge ya ku-lose. Kama trend zimefikia hapa kuna haja ya mapamabo kufikishwa kwenye ngazi nyingine!
 
Mzee Pius Msekwa...makamu wa CCM.
 
Urithi wa JK na vyeo ndani ya CCM ndio unaozua malumbano bungeni na sio maslahi ya wananchi.
  1. Kundi la Mh. Msekwa nalo limeona kutokaa kimya baada ya kundi la Mh. Malecela kujipatia umaarufu.
  2. Uzuri ni kuwa wote wanawatumia wake zao wakielewa wazi hakuna yeyote atakayeweza kuwagusa.
  3. Lakini cha kufurahisha ni kuwa, iwe ni katika kuunga mkono au kukandia, wote hawathubutu kugusa mahali patakapomuudhi mwenye nyumba wao JK.
  4. Kundi la Lowassa na la Msekwa nafikiri yanaweza yakashirikiana. Bahati mbaya Lowassa hana mke mbunge wa kumchezea ngoma bungeni. Nafikiri anajuta kutooa mke mbunge.
  5. Kundi la akina Prof. Mwandosya, sijui kwa nini lenyewe liko kinya. Au ameshakata tamaa baada na yeye kushutumiwa kutokuwa safi? Ngoja tusubiri tuone.
  6. Salim naona ndio maana anashindwa kiurahisi kwa kutoingia kwenye hizi siasa za kisifa-sifa. Hata ukiwa kiongozi madhubuti kiasi gani, huwezi kupewa uongozi mikononi bila kuupigania. Wake up SAS.
Mwenyezi Mungu iepushie mbali nchi yetu na viongozi wahuni-wahuni.
 
Mkuu kidogo nimeachwa unaposema makamu- Ni makamu yupi huyu , ni mamaku mwenyekiti ay makamu wa rais. Lakini nasmell kuwa mafisadi wanashinda, naona upande wa haki uko kwenye verge ya ku-lose. Kama trend zimefikia hapa kuna haja ya mapamabo kufikishwa kwenye ngazi nyingine!

Mkuu Bongolander,

Heshima mbele, huyu ni makamu wa ccm, naye amejiunga tayari na hili kundi ambalo tayari limeanza kujitayarisha na urais, nafikiri ameamua kujitoa pembeni na UWT na ubunge, kwa sababu atakuwa ameahidiwa chochote, itakapokuja time yao ya lile kundi,

Hii inaongeza nguvu kuwa kubwa sana upande wa kundi hili la lowassa, ambalo sasa hata Mkapa naye amejiunga nalo, sasa hivi aliyebaki wa kutumainiwa ni Six peke yake, the devil we know ila the question ni for how long ata-resist mashambulizi yao kina Lowassa?

I mean hiii ya kujiunga kwa makamu na mkewe, kunaleta wasi wasi mkubwa sana, lakini tunaendelea kumuomba Mungu atusaidie upande wa wananchi na wabunge wetu kina Mwakyembe, Seleli, Manyanya, Dr. Slaaa, Ndesamburo, Mama Kilango, na Mheshimiwa sana Zitto.

Mungu Aibariki Tanzania.
 
Respect FMES
Mkuu wangu pamoja na yote yanayoendelea, hii habari kwangu ni kichefuchefu, can u imagine badala ya kuwa-wean out watu kama kina Kingunge,Msekwa, kutoka kwenye siasa na kuleta kina Kilango wapya bado tunawang'ang'ania tu kina Msekwa. What can we get out of them. Hili ni swali ambalo wengine wanaweza kuona la kijinga, lakini binafsi naona ni ujinga watu kama hao kurudi tena kwenye active politics naona ni busara kama wakiwa kwenye role nyingine, wanaweza kuwa consultants.
Inasikitisha sana kuona karata ya kundi la mafisadi inaleta kizunguzungu, sijui itakuwaje i think develepments za wiki hii na ijayo zitakuwa interesting sana.
 
Mkuu Bongolander,

Heshima mbele, huyu ni makamu wa ccm, naye amejiunga tayari na hili kundi ambalo tayari limeanza kujitayarisha na urais, nafikiri ameamua kujitoa pembeni na UWT na ubunge, kwa sababu atakuwa ameahidiwa chochote, itakapokuja time yao ya lile kundi,

Hii inaongeza nguvu kuwa kubwa sana upande wa kundi hili la lowassa, ambalo sasa hata Mkapa naye amejiunga nalo, sasa hivi aliyebaki wa kutumainiwa ni Six peke yake, the devil we know ila the question ni for how long ata-resist mashambulizi yao kina Lowassa?

I mean hiii ya kujiunga kwa makamu na mkewe, kunaleta wasi wasi mkubwa sana, lakini tunaendelea kumuomba Mungu atusaidie upande wa wananchi na wabunge wetu kina Mwakyembe, Seleli, Manyanya, Dr. Slaaa, Ndesamburo, Mama Kilango, na Mheshimiwa sana Zitto.

Mungu Aibariki Tanzania.
FMES,
Tangu nisome makala yako jana imenipa kutafakari mambo mengi sana. Nafikiri tusikate tamaa kiasi hicho. Tegemeo letu limebaki moja yaani KARATA ya Mwisho. Hii nafikiri anayo Kikwete. Sasa inategemea Kikwete ataicheza wakati gani. Hii imenikumbusha ile story ya THE GODFATHER. Mzee Don Carleon alikuwa kaishiwakabisa nguvu. Hata jamaa zake wengine walikuwa wamenunuliwa na wapinzani wake. Siku ya MAZISHI ya SANTINO mwanae au SONNY ndipo alipofanya maajabu (Samahani kama ntakuwa nimechanganya). Wakati mazishi yakifanyika, watu wake walikuwa BUSSY waki-eliminate adui zake wote. Mazishi yanaenda, baba yuko KAZINI kwa sana!! Sasa inategemea Kikwete ana akili kiasi gani. Kama HANA AKILI basi kweli TUMEKWISHA. Kama kama wanamu-underestimate basi inabidi tuseme SOON UFISADI UTAISHA maana wameshajiweka wao wote kwenye KAPU MOJA. Nasema hivi kwa sababu moja kubwa sana. Mlisema kuwa yule BOSS Othman nani sijui ni Mpelelezi na ni RAFIKI WA KIKWETE. Hosea kapanda na hivyo aliyekuja ni mtu wa Kikwete na atakuwa kazini kukusanya DATAs. Riport zote za uchunguzi wa UFISADI ziko kwake. Wauza unga ziko kwake nk nk. Anaweza subiri LAST MINUTE akacheza ule mchezo walimfanyia Boss wa Fat yaani RAGE kule Tabora. Walimuweka ndani na sasa imeonekana HANA HATIA ila ubunge hana wala KITI hana. Nafikiri Muungwana kwa kutumia hizo riport zote anaweza KIHAKI na KISHERIA kuwakamata na kuwafungulia mashitaka Mamvi, ANBEN, Dialo. Mramba, Msabaha, R Azziz, Chenge, Mwanyika, Mamvi Son, nk nk.
KIKWETE KAZI KWAKO. UKIFANYA MCHEZO JAMAA WATAKUMALIZA. Siye tuko na wewe maana BETTER THE DEVIL YOU KNOW, ingawa huyu shetani FISADI, mhhh hadi unasema labda nijaribu mwingine...
 
Hii wiki inayokuja naona kuna mengi sana yatakuja. So far kuna miziki miwili inakaribia kumalizika compacting kule studio na inaweza kuangushwa hapa JF muda si mrefu.

Independence day itabidi niitumie kununua pop corn zaidi toka Iowa kwani yote yanayokuja hapa JF ni makubwa.

Tunasubiri ku-dance kwa hamu kubwa.
 
Back
Top Bottom