Hee wakuu bado mnataka video?... ama kweli ndio maana mlitaka picha za marehemu Balali... duh!
Hivi mnafahamu kwamba video zenye kuonyesha tukio zima huwa hazikubaliwi kama ushahidi kortini?... Na sababu kubwa ni kwamba video zinaweza kuwa edited, manipulated, modified to extent that ikapotosha ushahidi mzima.
Mara nyingi video ambazo zinaweza kubalika ni zile zinazoonyesha mazingira ya sehemu husika, jinsi ushahidi ulivyokusanywa kama ushahidi wenyewe kama upo (maji yaliyomwagwa vitini) hii ni baada ya tukio lenyewe, ama report ya kitengo cha Criminal Investigation Department ambayo kutokana na utumiaji wa video hiyo wameweza kumbana mhusika akakubali kuhusika..
Video hutumiwa na vitengo vya polisi kumbana mhusika na ikisha toka hadharani (public) haiwezi tena kutumika kama ushahidi,(naomba kukosolewa na wanasheria) na hata kama korti zetu zinaruhusu video za namna hii. Kisha tunajaribu kutafuta kitu gani hapa?... wananchi kuhakikisha kuwa alikuwa Chenge?... je akiwa ndiye then what! maanake ni video hiyo hiyo inayotazamwa na vyombo vya usalama ambao wanaweza kuchukua hatua lakini sisi Wadanganyika sana sana tutacheka sana kumwona Chenge akivua digree zake na kubakia uchi wa nyama akinuizia elimu nzito ya sayansi ya mwafrika!..