Kushinda kwenye PM

Kushinda kwenye PM

Tuseme ukweli sijapokea PM toka mwezi wa sita, nahisi sijui inafananaje kwa sasa
 
Kuna mtu mnamsema tu hapa wabaya sana nyie anonymus.
 
Da Mkubwa na wewe unaendaga PM??

Mie nilidhani wakubwa wenzangu tunajadili hapa hapa kijiweni??

cc: Fixed Point

Babu DC!!
Mkubwa mwenzangu, hoja tunajadili hapa hapa....
PM huwa tunaulizana hali za watoto.
siku atakayeniuliza nimevaa chupi gani (cc. The Boss) atakuwa amenikosea saanaaa
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa mwenzangu, hoja tunajadili hapa hapa....
PM huwa tunaulizana hali za watoto.
siku atakayeniuliza nimevaa chupi gani (cc. The Boss) atakuwa amenikosea saanaaa

Hujamalizia mkubwa mwenzangu...kukusea sana na kukusea adabu ni vitu viwili tofauti....

Kwetu sie wakubwa, hilo la pili ndiyo neno lenyewe......Adabu yetu tumeijenga kwa nguvu na raslimali nyingi sana ati!!

niliposema kunikosea sana ilijumuisha na adabu pamoja na mambo mengine.....
yaani kweli na mapoint yangu na kujieleza kwangu huku halafu mtu aniulize nimevaa chupi gani kwa pm? huko kutakuwa ni kwenda mbali sana....
Huwa natabasamu tu ninaposoma PM na mtu anajisalimisha na "No hard feelings", najivunia kuheshimiwa kwa design hiyo, hata PM.....
Utu uzima raha sana mtu mzima mwenzangu, au wewe unaonaje?
 
hahahahahahaahhaaaaaa jamani mbona mambo
hii ndo raha ya jf bhana maana kila kukicha kuna vituko
 
Back
Top Bottom