Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
hahahaaa Himidini mi sinaga kuremba kwenye PM ukitaka story zaidi tuamishie PM chitchat nisije shawishika buree lol....... Msimamo at work Hahahaaa!!!!!!!!!
Last edited by a moderator:
Lady doctor said:Msimamo at work Hahahaaa!!!!!!!!!
Nipo busy PM na wajukuu watiifu
Naumwa doctor upo tayari kunitibia?
Nilitaka unifundishe ku mention jina la mtu.
We mgumu kweli?
Kwa hiyo wadau habari ndo hiyo...msiwe mnakuja na visu kwenye mpambano wa binduki.
hapo ujue ni mtego wa mtu hapo
ni member mzoefu labda anamtega mtu wake lol
Because I've got the requisite wherewithal....
aah ya kweli hayo?twende zetu pmhapo ujue ni mtego wa mtu hapo
ni member mzoefu labda anamtega mtu wake lol
waarabu wa pemba yaheUnataka kwenda PM na The Boss? Hmmmm.......
umejuaje utam wa pm, wakati una kamba mguuni ,:A S 39:Pm sometimes goes romantic!
I like sexcharting through pm!
Uko poa nimwalike na bibi yako?
Subiri yupo na bibi yako
Mwalike si unaju bibi kwa mjukuu wake hanaga neno.
tena bibi ndo namtaka,,,, mambo ya bibi unayajua wewe???? hapana chezea yeye!!