miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
mi naogopa pm sana
pm majaribu matupu!
Yaani shetani anaweza karibishwa hivi hivi.............kuna watu walimwagiana sms hapa hadharani baada yakutibuana huko PM
mi naogopa pm sana
pm majaribu matupu!
mkuu mambo ya pm siku zote ni 'imaginations' tu
ndo maana watu wakishaonana hawashindi pm
so pm ni nzuri kama unapenda fantasies zaidi..
Unatamani PM?
He he he, huko ni watoto, wazee tuna vilinge vyetu.
Ngoja nimalizie kumkogesha zombie. Long tym no see u.
Kwani na wewe ni teja wa PM??
Nahisi kuna confessions za kufa mtu zitamwaga hapa leo hii...
Ngoja nikacheze na wajukuu kwanza..lol!!
Babu DC!!
Naah, how can I be a wounded soldier when I wasn't warring with anyone? Think bruh....think.
Hahahaaa.... Mie niko poa kabisaaa..!
Yaani wee acha tuu, huko PM ni balaaa..!
Babu hapo si nitakuwa nachoma ramani...
ya nini? nikivaa chupi navimba mwili mzimaKwani siku hizi umeanza kuvaa kyupi?
Babu wala usiwe na kimuyemuye.
Kila kitu shwari kabisa na huu ujumbe nimeuweka kwa ikhlasi na si unyambi.
Mbona unataka kunitisha brother....?
Kupotea hivyo ndiyo nini mkuu au ulikuwa unajifunza mambo ya nepi??
Babu DC!!
It's just the way you brought this up, quite typical of an aggrieved person. And i guess i won't be offending if i dare said such sentiments can only come if not from a victim, then from a current or once upon time culprit.
aisee nitashukuru sana huku bongo vumbi tupu!hakuna maslahi kabisa bwana..kila mtu kafulia ukikaa vibaya unaliwa mzigo na hela unatoa! maisha gani hayo..ndo maana tunaishia kushinda humu jf ! bora nikabebe box mbele ni mbele tu !
Mweh! jiwe ndo lisharushwa hivo
yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah.....!!!!!!!!!!!
nikipata vizee vya kutosha vya kuogesha nitakuita dearKabebe mabox ushindie mikate sie twajichana makande, makange, urojo kwa rahazetu
Kwani PM siko peke yangu baby?
ya nini? nikivaa chupi navimba mwili mzima