Kushinda kwenye PM

Kushinda kwenye PM

kiukweli hii thread inawachomoa 'wahusika' very soon lol
 
watu wa id za kike na wenyewe vidume wapo
sasa kama waki flirt pm wana flirt vipi?
si hatari?


Kwa upande wangu naona ni mambo ya kufikirika....

Ngoja nifanye upango wa kufanya utafiti kuhusu matumizi ya PM....

Babu DC!!
 
unakuta mtu mwingine mnaheshimiana so kumpotezea inakuwa issue! ila pm bana mtu anakuuliza eti by the way umevaa chupi gani? kama sio kutiana majaribuni ni nini? khaaaaa pm mmmmh!

Kwani siku hizi umeanza kuvaa kyupi?
 
Ha ha haaa haaa haaa waoooo umeleta raha Nyani Ngabu hii imetulia sana.
 
Last edited by a moderator:
dah hii thread yako utafanya wwatu wapate 'guilty conscious ' tele

kila mtu atajiuliza naongelewa mimi au? lol

kuna siku zamani hapa JF kuna mdada alinishindisha pm kutoka saa saba mchana hadi saa tatu usiku
yaani pm zake zinakuja tatu tatu duh lol

Hahaahahahah pole sana yaonekana stori zilikolea tu.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom