Kushinda kwenye PM

Kushinda kwenye PM

Hahaha ilinitokea nilishinda PM miezi miwili dah kilicho nikuta sitasahau.
 
dah hii thread yako utafanya wwatu wapate 'guilty conscious ' tele

kila mtu atajiuliza naongelewa mimi au? lol

kuna siku zamani hapa JF kuna mdada alinishindisha pm kutoka saa saba mchana hadi saa tatu usiku
yaani pm zake zinakuja tatu tatu duh lol
mmmhhh
 
Mara nyingine huwa nashindwa kuielewa JF...

Mbona PM yangu haijawahi kupata mgeni hata mmoja....

May be ni uvivu wangu...

But....Mtu mwingine kabisa, anaweza kujua kama Babu anashinda JF akishindia hamu??

Babu DC!!

Ngoja niku pm niweke historia kwenye pm yako.
 
Kuna watu wanashangaza sana. Yaani mtu umejiweka invisible humu halafu huchangii kwa sana siku hizi lakini kila siku unashinda kwenye PM.....

Ama kweli facts sometimes are stranger than fiction.

Kila ukitokea mara chache chache watu wanakuuliza mbona umepotea hivyo....kumbe wapi! Upo kila siku lakini unashinda kwenye PM na yule nanii....:smile-big:

Kaazi kweli kweli.
na mimi nashinda kwenye pm tu
 
Kaka the boss wewe ndo ulimshindisha mdada wa watu nini afu unajitetea teh teh teh teh!!!!!!!!!!1
 
unakuta mtu mwingine mnaheshimiana so kumpotezea inakuwa issue! ila pm bana mtu anakuuliza eti by the way umevaa chupi gani? kama sio kutiana majaribuni ni nini? khaaaaa pm mmmmh!

khaaa ndo mambo ya pm hayo...mmmhhh aiseeee
 
dah hii thread yako utafanya wwatu wapate 'guilty conscious ' tele

kila mtu atajiuliza naongelewa mimi au? lol

kuna siku zamani hapa JF kuna mdada alinishindisha pm kutoka saa saba mchana hadi saa tatu usiku
yaani pm zake zinakuja tatu tatu duh lol

Mi nimekushtukia bro the boss teh teh teh teh!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom