Kushinda kwenye PM

Kushinda kwenye PM

BAK niwekee ....... your my number one..........
 
Last edited by a moderator:
dah hii thread yako utafanya wwatu wapate 'guilty conscious ' tele

kila mtu atajiuliza naongelewa mimi au? lol

kuna siku zamani hapa JF kuna mdada alinishindisha pm kutoka saa saba mchana hadi saa tatu usiku
yaani pm zake zinakuja tatu tatu duh lol
Mulishindishana bwana weeee.
 
Back
Top Bottom