Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,101
- 871,280
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji188] [emoji188] [emoji188]Motorola bapa lakini chaja inakaaa
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji188] [emoji188] [emoji188]Motorola bapa lakini chaja inakaaa
Benzi umesema????Wewe ni kama mimi! Mwanamke akiwa na 'mkia' na nyonyo ndogo ndogo,wee hata Benzi atahongwa... Tabia si mali kitu kwangu. Hapa atanyooka tu kwa mahaba moto moto atakayopatiwa...
asante mkuu meipenda hiyohahahahahaha oyeeeeeeeeeeeeeeee
hahaha basi wanaume wenzio watakuona mshaaamba sana lohkweeenda mwana kwendaaaa kafie mbeleee.... wenye flat nao ni wanawake na waliumbwa na huyo aliyeumba wenye manyama ya kukalia.... wewe nani hata uwaite flat screen.... unaonekana huna lolote la maana na hujitambui wala kuelewa thamani na madhumuni ya Mungu kuumba wanawake!
umependa nn flat screen sio? karibu sanaasante mkuu meipenda hiyo
hahahaha hiyo michezo siku hizi imekuwa kawaida sanaHuyu atakua anapenda michezo ya bata kwakweli, kuvuka ukuta
nimependa ulivyoitikia oyeee na naipenda flat yangu as well siwezi kuichukia au kuthubutu kuvaa tight za maboots kisa wanaume wengi wanapenda wanawake wa type hizo no big NOumependa nn flat screen sio? karibu sana
Eeeh. Murano au Benzi. Lolote mtoto atakalochagua atapewa...Benzi umesema????
Ahahaha au HATA??
Bahatika kumpata kitambi flat nyuma kifusi[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji134] [emoji134] unaweza kuhonga kampuni ya boss na kubinafsisha akaunti za benk[emoji12] [emoji12] [emoji12]Wanawake wengi kwenye makalio makubwa wana vitmbi Mimi sio taip zangu kabisaaa Yale manyama uzembe siyapend kwangu vimodal ndo mpangoo
Ila hajamtaja mwanamke fulani in particular kama ulivyofanya kwa mzazi wake...na kwakweli sidhani kama lengo lilikuwa ni kudhalilisha
Sasa makalio yasioeleweka ndio yapoje hayo?🙂Mimi mwanamke ambae hana mkia au makalio ya kueleweka anipite mbali hata awe na sura nzuri kiasi gani..
wanasema mwanamke titi tako ata babako analo
Mbona unaguna mama.
utamu wa chakula huanzia harufuni.Yaani taamu utake ustake upende usipende yaani mi ni flat tena haswaa tena kama ya wale dada zetu akina kanjibai na hakuna cha uzuri wala nini hapa ni kujikubali tu basiiii narudia tena team flat oyeeeeeeeeeee
Mpaka umesema nibahatike maana take ni wachachee hao unao wasema wengi Wao wanavitambiBahatika kumpata kitambi flat nyuma kifusi[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji134] [emoji134] unaweza kuhonga kampuni ya boss na kubinafsisha akaunti za benk[emoji12] [emoji12] [emoji12]