Kusema kweli mwanamke ambae hana makalio apite mbali

utamu wa chakula huanzia harufuni.
Japo sijakuelewa ila habari ndo hiyo taamu mi nipo tu na flat screen yangu najipa raha tu hapa mjini na wenye vijungu tunao tunapishana nao kila siku barabara ile ile maisha yale yale and life goes on
 
nimependa ulivyoitikia oyeee na naipenda flat yangu as well siwezi kuichukia au kuthubutu kuvaa tight za maboots kisa wanaume wengi wanapenda wanawake wa type hizo no big NO
Cc zarina Hasan
 
Japo sijakuelewa ila habari ndo hiyo taamu mi nipo tu na flat screen yangu najipa raha tu hapa mjini na wenye vijungu tunao tunapishana nao kila siku barabara ile ile maisha yale yale and life goes on
maana yangu hisia zangu hunambia wewe unavutia sana.yaani sitaki amini kwamba wewe ni samsung bravia,yaani fulati
 
kumbe,ndio maana ya kichina nayo yameshika speed
 
maana yangu hisia zangu hunambia wewe unavutia sana.yaani sitaki amini kwamba wewe ni samsung bravia,yaani fulati
Tatizo walio wengi wanapenda kuongea kinyume,me sipo hivyo nachokiongea ndo nachokimaanisha yaani amini tu huna jinsi weka hisia zako pembeni sikiliza nachokwambia usije ukashikilia hisia zako mara siku moja hamad tunakutana haki vile utazirai
 
nakubali kishingo upande.
 
dah nimecheka sasa mkia ata wewe si unao....au unajitia uchizi sasa
 
Mi napenda kuna design flani hivi mwanamke siyo matako makubwa wala madogo sana yani kuna zile Nyama flani za kawaida halafu umbo lionekane siyo mwanamke hujui kiuno kiko wapi halafu awe kapanda hewani kidogo. Awe mweusi au maji ya kunde hapa nimemaliza.
 
Back
Top Bottom