Kusema kweli mwanamke ambae hana makalio apite mbali

Kusema kweli mwanamke ambae hana makalio apite mbali

Unaweza elezea faida unazozipata unapokuwa na huyo mwenye hiyo unayoita mkia muwapo faragha,Na hasara utakayopata ukiwa na huyo unayoita flat mkiwa faragha?
Wanaume rijali tu ndio wanaweza kujua utamu au matumizi ya mkia, mnaotegemea supu ya pweza na mkuyati hayo hamuwezi kuyajua.
This is only for real men.
 
Unajitia mwanamke asie na mkia akupitie mbali....sijui hata huo mkia kama huwa unautumia
Nimesema wanaume rijali tu ndio wanajua mkia unatumika wapi ukiwa kitandani, mnaotegemea supu ya pweza hilo hamuwezi kujua. Kuleni mohogo kama mbuzi.
 
Mleta uzi kakosea kuwatoa uthamani wasio na mikia,bt kiukweli mkia unayo nafasi kwenye mtifuano!!huongeza Hamasa pale unapokua unauminyaminya kiaina!!!
Sijakosea na sijadhalilisha mtu.

Hii ni preference yangu na sijamkosoa mtu.

Mbona wanawake huwa wanasema humu preference zao wanataka wanaume wenye pesa, wengine wanaume warefe, wengine wenye vifua kwani wanakua wamewakosoa wasio na hela au wafupi au vifua?

Kila mtu na vipendeleo vyake, flat screens aanaona wamedhalilishwa, hapana ni kwamba hawanivutii, hawana mvuto.
 
Msema kweli mpenzi wa mungu kama ilivyozoeleka na ukweli siku zote humuweka mtu huru.

Mimi mwanamke ambae hana mkia au makalio ya kueleweka anipite mbali hata awe na sura nzuri kiasi gani.

Mwanamke ambae hana mkia simuangalii mara mbili na hata ikitokea bahati mbaya nikatoka nae basi ni mara moja tu (simba akiishiwa nyama hula majani).

Flat screens kwa kweli hawana nafasi kwangu, usipokua na mkia hata ofa ya kinywaji sitoi.

Narudia kusema ukweli humuweka mtu huru, haya ni maoni yangu binafsi
"Mkuu kama ni flat screen basi muungezee lako kwani wewe tako huna au unakalia mkono weye"
 
Kama ingekuwa hivyo waafrica tungekuwa na IQ kubwa kuliko watu wote duniani lakini wapi? Na yule mchina asingeshika nafasi ya pili katika mtihanai wa taifa wa darasa la nne kwa kuwa mama yake ni flat screen?
Asante mkuu hizi tafiti nyingine hizi
 
long time no see bibie,anataka mkia si aoe farasi.
Umeona eeehhh taamu anavyojishaua utafikiri sie maflat screen tumemwambia tunampenda aendreeeeee atuache na flat screen zetu wapo ambao kutwa hawalali kwa ajili ya flat screen zetu
 
Aisee hii dunia ina too many complications na ukisema kila mtu akisema hiv ukop akisema vile ukop utakondaa

Itakuwa ikitoka thread ya wapenda flat screen ukiona wanavyosifiwa na kupondewa wenye vijungu unaumia,ikitokea inayosifia vijungu flat zinapondewa roho juu juu ikotokea wenye big boobs wanasifiwa na wenye flat vifuani kupondewa unahisi kufa

Hivyo basi lucky enough Mungu ana akili zake hakuumba watu wawe na same tastes na option kiasi kwamba si mwenye flat au kijungu ana pendwa tu na kudrive watu wenye taste zake crazily

My take sasa wale tulio flat screen tujivunie tulivyo hakuna cha mchina wala tight za vijungu kuvaliwa yaani ni mwendo wa flat hiv hiv wapo wanaovutiwa na ingilishi figa na flat zetu

Flat screen oyeeeeeeeeee

Copy miss chagga Valentina
 
Kwahiyo ww mpk kifuani flat?
 
Umeona eeehhh taamu anavyojishaua utafikiri sie maflat screen tumemwambia tunampenda aendreeeeee atuache na flat screen zetu wapo ambao kutwa hawalali kwa ajili ya flat screen zetu
ila angalieni msimtoboe macho.
 
Back
Top Bottom